Wednesday, March 25, 2009

Haki Miliki


Kutoka Mzee wa Sumo Blog:

Jamani wabongo wezi yaani mshikaji amekaa na laptop anasubiri chinga anayeuza CD anatoa sh 500 anakopy miziki na movies! Kweli kwa jinsi hii wasanii wetu watafika?

*********************************************************

Wadua, hapa Marekani ukikutwa unafanya piracy unapigwa faini ya maelfu ya dola! Wasanii wanatakwa walipwe na kuna sheria za kuwalinda. Bongo bado, wamepiga hatua lakini bado! Naona akina Dr. Remmy wamelipwa residuals, je, wajukuu wao watarithi haki ya kupokea?

6 comments:

  1. Bongo ni Bongo. Hakuna cha haki wala haki miliki!

    ReplyDelete
  2. Kweli watu wanaishi kwa bongo kwi, kwi, kwi, kwi! Kwa nini ninunue CD ya 5000/- wakati nawez kuipata kwa shs. 500/- tu!

    ReplyDelete
  3. hapo ni wapi tukamkamate?

    ReplyDelete
  4. Dada Chemi suala la intellectual property hapa bongo bado halijaeleweka, sheria imelegea sana katika jambo hilo, na hapo ndipo kwenya tatizo!

    ReplyDelete
  5. Ni sahihi kabisa (in terms of moral groung) kukopy miziki ya kimarekani. Siwasapoti wanaokopi miziki ya wasanii wa ki-bongo.

    Nawewe Chemi usijifanye askari kanzu wa marekani, kama imekuuma sana saga chupa ubwie.

    ReplyDelete
  6. Dah! Yaani wanafanya hivyo wazi wazi!

    ReplyDelete