Marehemu mume wangu, Reverend Douglas G. Whitlow, atazikwa siku ya Ijumaa , January 22, 2009 katika makaburi ya Cambridge, (Cambridge Cemetery) eneo la wanajeshi.
Viewing/Wake/Funeral itakuwa
Spears Funeral Home,
124 Western Avenue
Cambridge, MA 02139
Viewing/Wake 10:00 -11:00am
Funeral Service 11:00 - 12:30pm
(Tafadhali zingatia muda)
Procession to Cemetery Immediately afterwards. Internment at Cambridge Cemtery, Coolidge Avenue in Cambridge, MA
Luncheon itakuwa
International Gospel Church
85 Crescent Ave.
Chelsea, MA 02150
********
Unaweza kutuma kadi:
Mrs. Chemi Whitlow
10 Laurel St. #4
Cambridge, MA 02139 USA
************************************
Pole kwa msiba dada chemi ila kwa uchungu ulionao sasa jaribu au tafuta mwakilishi wakukutolea habari tupo pamoja ktk kipindi hiki kigumu kwako mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu pahala pema peponi
ReplyDeletepole na msiba chemi. MUNGU akuzidishie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. may the soul of rev whitlow rest in eternal peace.
ReplyDeleteThx for the updates and especially for the bank details.
ReplyDeleteAgain, be comforted in this time of big sorrow re: the loss of your beloved husband.
Pole sana dada yetu, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mshukuru Mungu kwa kila jambo.
ReplyDeletepole sana dada chemi,mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amina.
ReplyDeleteJingo James.
Pole Dada Chemi,
ReplyDeleteBWana Alioa na bwana ametwaa, Jina la bwana libarikiwe.
RIP Rev. Douglas Whitlow
tdada chem jamaa alikuwa fiti sana enzi za uhai wake alikuwa very strong jamani kwanini aliacha jeshi na akanenepa hivyo?
ReplyDeleteunajua mwanzo uloposema atazikwa makaburi ya wanajeshi nilikuwa najiuliza kwa nini mchungaji azikwe kwenye makaburi ya wanajeshi?
kumbe alikuwa mjeda,pole dada tupopamoja na wewe.
wadogozako wa Kijiji cha Kimelembe Ludewa