Wadau, nasikitika kutangaza kifo cha mume wangu, Reverend Douglas G. Whitlow, kilichotokea nyumbani hapa Cambridge, Massachusetts leo asubuhi. Alikuwa na matatizo ya figo kwa muda mrefu. Alikuwa anangojea kidney transplant.
Mipango ya mazishi ninafanya na nitawajulisha mara ikikamilika. Kwa habari zaidi mnaweza kuwasiliana na mimi:
Chemi Che-Mponda Whitlow 617-497-4353
au
Ezekiel Concord Luhigo 781-632-3605
Mipango ya mazishi ninafanya na nitawajulisha mara ikikamilika. Kwa habari zaidi mnaweza kuwasiliana na mimi:
Chemi Che-Mponda Whitlow 617-497-4353
au
Ezekiel Concord Luhigo 781-632-3605
REST IN ETERNAL PEACE. AMEN.
pole sana kwa kufiwa na mmeo dada chemi.mungu katoa mungu katwa jina lake lihimidhiwe
ReplyDeletePole sana dada chemi, mungu akupe nguvu na akuwezeshe kukamilisha shughuli zote.
ReplyDeletePole sana Da Chemi kwa msiba uliokufika.
ReplyDeleteAmpumzike pema Reverend Douglas G. Whitlow.
Pole sana!
Pole sana Dada Chemi. Mungu akusaidie wewe na familia yote kuhimili msiba huu. Namkumbuka Mzee, Reverend Whitlow, tulivyoonana miaka mingi iliyopita. Mungu amweke mahali pema Peponi. Amina.
ReplyDeletePole sana Da Chemi
ReplyDeleteMungu ampumzishe mumeo palipo pema
Pole sana dada chemi.
ReplyDeleteR.I.P Reverend Douglas G.Whitlow.
Pole sana dada Chemi, may his soul rest in peace. Amen
ReplyDeletePole sana kwa kuondokewa na mmeo mpendwa. Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu, tuko pamoja na wewe.
ReplyDeleteMay God give you strength and courage during this testing time.
ReplyDeletePole sana, Da Chemi.
-----------------------------------
Jua Kali
Pole Dada Chemi sina cha kuongea wala kuelezea hali uliyonayo na huzuni kwa kuondokewa kwa mumeo ila naweza kusema wewe ni mwanamke jasiri. MUNGU AZIDI KUKUTIA NGUVU KATIKA KIPINDI CHA MPITO. SOTE TUNAELEKEA HUKO. RIP Rev. Whitlow
ReplyDeleteMungu Amemwita naye ameitika. Ametutangulia na siku moja tutakutana naye. Hebu na apumzike kwa Amani. Nyote mbarikiwe!
ReplyDeletePole sana dada Chemi kwa msiba mkubwa wa kifiwa na mmeo. Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.
ReplyDeletePOLE SANA DADA CHEMPONDA MUNGU AKUTIE NGUVU UWEZE KUHIMILI KIPINDI HIKI KIGUMU CHA MSIBA
ReplyDeletePole sana kwa kufiwa. Mwenyezi Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu kwako.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu amlaze marehemu mahali pema Peponi. Amina.
Pole sana.
ReplyDeletePOLE SANA DADA YANGU HAYO NI MAPENZI YA MUNGU.NAKUOMBEA MUNGU AKUPE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU
ReplyDeletePole sana Da Chemi pamoja na familia yote. Ampumzike popeni pema. Amina.
ReplyDeletePOLE SANA MAMA 'ETU KWA KIPINDI HIKI KIGUMU, TULIMPENDA SANA ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI.
ReplyDeleteMwanga wa bwana umwangazie.. Apumzike kwa amani!
R.I.P Reverend Douglas G. Whitlow
Pole sana Da-Chemi. Mungu akupe nguvu na amani ya kuweza kuhimili kipindi hiki kigumu kwako na familia yako, AMEN!
ReplyDeletePole dada chemi kwa kumpoteza mumeo mchungaji Douglas G. Whitlow. Mungu awatie nguvu na awape subira.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletePole sana dada Chemi, Mwenyezi Mungu akupe nguvu, hekima na uvumilivu katika kipindi hiki kiguume sana. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMINA
ReplyDeleteMay the love of those around you help you through the days ahead, Our thoughts (bloggers) and prayers are with you.
ReplyDeletePole sana Chemi kwa msiba mzito.
ReplyDeletewako..
10GA[UK]
Asanteni wote kwa walionipigia simu na kunitumia e-mail. Nitawajulisha mipango ya mazishi yakikamilika.
ReplyDeletePole sana da'Chemi, Mungu akupe nguvu.
ReplyDeleteDuh! Da Chemi pole sana.Nasikitika sana na mkasa uliokupata.Ujue tu kuwa Mungu ndie anayepanga na kuamua na sisi sote siku moja tutakwenda huko.
ReplyDeleteMwenyezi amlaze pema.
AMIN
mdau KILI from Bulgaria
Pole Sana Da Chemi, hakika hiki ni kipindi kigumu kwako, kuondekowa na mwenzi si jambo dogo, naomba Mungu akutie nguvu uweze kupita salama kipindi hiki.
ReplyDeletenami na kwa niaba ya wadau wote wa Bongo Pix twakupa mkono wa pole na Mungu ampumzishe mahala pema Reverend D.G Whilow. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE. AMEN.
So sorry dada Chemi, may the comfort of God and those around you help you during this diifult time.
ReplyDeleteApumzike pema Reverend Douglas G. Whitlow.
Tunahitaji kumshukuru Mungu kwa yote yanayotokea au kututokea. Da Chemi, kuwa imara na tuko pamoja nawe katika maombi.
ReplyDeleteMdau,
London
Pole dada kwa msiba ulikupata. Ulimpenda sana mumeo, lakini mungu alimpenda zaidi. Mungu amlaze pema peponi. Amina
ReplyDeleteDada Chemi,
ReplyDeleteMshukuru Mungu kwa muda uliokuwa naye hapa duniani.
Mungu ni mwema sana na atakupitisha ktk kipindi hiki kigumu.
Mungu muweza yeyote na azidi kukutia nguvu na amani ya Bwana ipitayo fahamu za wanadamu ikae nawe.Amina
Pole sana na roho ya marehemu mpendwa wetu ipumzike kwa amani. Ameen
Dad Chemi, naomba niungane na wenzangu waliotangulia kutoa pole za dhati kwako, ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa ulioipata familia yako.... Mwenyenzi Mungu awape baraka katika kipindi hiki kigumu... Poleni sana!!!
ReplyDeletePole dada kwa kufiwa na mumeo mpenzi. Mungu awape ujasiri katika kipindi hiki kigumu. Kumbuka kuwa yote hufanyika kwa mapenzi yake.
ReplyDeletepole sana na Mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu cha mpito,my heart and prayer goes out to you
ReplyDeletekwani marehemu ni m-bongo au m-nyamwezi? Na mazishi yatafanyika hapa au yatasafirishwa?
ReplyDeletePole sana Da' Chemi kwa msiba mkubwa uliokupata, Bwana alitoa na Bwana Ametwaa, AMEN.
ReplyDeletePole sana Da Chemi. Mungu aendelee kukufariji na kukutia nguvu.
ReplyDeletePole sana Dada Chemi>Mungu akupatie nguvu ya kupokea haya yote kwa Imani kuu, kuwa siku mmoja wote tutakutana katikauzima wa milele
ReplyDeleteDa Chemi,
ReplyDeletePole sana kwa msiba uliokufikia.Bwana alitoa na Bwana ametwaa.Mungu akupe ujasiri,wewe na familia yako,ndugu,jamaa na marafiki.
Pumzika kwa amani Reverend.
pole kwa msiba mola yupo pamoja nawe
ReplyDeletepole sana mdogo wangu.may God give you the strength at this difficult time.you have brought so much joy into my life and i am so sad for you my dear.if i could come to cambridge to be at your side ... but please accept my prayers for you and your family, in laws friends and associates
ReplyDeletePole sana Chemi. Mungu akupe nguvu na kukufariji.
ReplyDeletePole sana Dada Chemi na familia nzima. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mungu umlaze pema peponi Rev. Whitlow. Ndomba
ReplyDeleteMungu akusaidie, akupe nguvu na Uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu cha kuomboleza.
ReplyDeleteMungu ampokee Rev. Douglas G. Whitlow na kumpumzisha kwa amani.
Pole sana Da' Chemi kwa Msiba uliokufika.
Pole sana Chemi. Mwenyezi Mungu akujaze faraja zake ili uweze kuukabili msiba huu mkubwa uliokufika. Sote tu mali Yake na Kwake tutarejea; ametutangulia tu. Tunamuombea kwa M'nyezi Mungu roho yake ipokelewe, na kuwekwa mahali penye mapumziko ya milele. Amen
ReplyDeleteMdau
London
Pole sana Chemi. Mwenyezi Mungu akujaze faraja zake ili uweze kuukabili msiba huu mkubwa uliokufika. Sote tu mali Yake na Kwake tutarejea; ametutangulia tu. Tunamuombea kwa M'nyezi Mungu roho yake ipokelewe, na kuwekwa mahali penye mapumziko ya milele. Amen
ReplyDeleteMdau
London
Da chemi Pole sana Mungu Akupe Nguvu na Ustahmilivu kwa msiba mzito.
ReplyDeletePole sana kwa msiba.
ReplyDeletePole sana kwa msiba.
ReplyDeletePole sana mpendwa wetu Da Chemi, nimesikitika sana kupata habari hii, lakini kazi ya Mola hii haina makosa, InshaAllah Mwenyeezi Mungu atakupa subra na kukufariji katika kipindi hiki kigumu wewe na familia yako.
ReplyDeleteR.I.P Reverend Douglas Whitlow. Amen.
Da' Chemi, pole sana kwa msiba mzito. Mola akupe moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Roho ya marehemu ipumzike mahali pema peponi, Amen.
ReplyDeletePOLE SANA DADA CHEMI KWA MSIBA ULOKUFIKA
ReplyDeletePole sana, Chemi.
ReplyDeleteSote tunaelekea huko huko, yeye ametangulia tu.
May God his rest his soul in Peace.
Mecky and Fatma
POLE DA CHEMI....MUNGU AKUTIE NGUVU...NA AMLAZE MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
ReplyDeletejamani da chemi pole sana, mungu akupe nguvu na subira kwa wakati huu mgumu. tuko nawe!!
ReplyDeletePole dada Chemi. Mungu akupe subira wewe na familia yako na amlaze pepeni marehemu mume wako.
ReplyDeleteDa Chemi
ReplyDeletePole sana wewe na familia yako. Ni msiba mkubwa. Tupokee ya Maanani.
Amina.
You have my sincerest condolences in this very difficult period for the lose of you husband. You will be in my prayers, God will see you through this. Mungu amlaze hayati pahali pema peponi Amina
ReplyDeleteMbu
Pole sana kwa msiba Da Chemi, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu na ampumzishe peponi mmeo.
ReplyDeleteR.I.P.
ReplyDeletePole sana DA CHEMI!
ReplyDeletePole Dada...
ReplyDeleteserina.
Pole sana dada Chemi, Mungu akupe moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
ReplyDeleteRIP the Rev. and may the almighty grant you peace and strength during this tough period Da Chemi.
ReplyDelete