Wednesday, January 06, 2010

Wimbo wa Chooni



Huyo Dada ana hits zaidi ya milioni tatu huko YOU TUBE! Watu hapa wanasema sasa kila wakienda chooni wataimba wimbo huo. OFFICIAL TOILET SONG!

5 comments:

  1. Jamani! hawa wote wanaotazama hiyo video na kuisambazia kwa wengine wanafurahishwa na nini manake mi sielewi hasa ni kipi cha ajabu hapo? Siku hizi upuuzi wowote uwekapo kwa youtube hupata shabiki...

    (toka fulani wa ng'ambo atamaniye kuzuru nyumbani KE..!)

    ReplyDelete
  2. Dohh! Huo wimbo unasaidia katika haja kubwa?

    ReplyDelete
  3. NOW FLUSH! Hiyo safi kwa kufundisha watu jinsi ya kuflush vyoo baada ya matumizi!

    ReplyDelete
  4. Nimeketi kwenye choo!
    Nakaa Chooni!
    Nadondosha Makimba!
    Kukaa Kwenye Choo!
    Haya VUTAAA!

    ReplyDelete
  5. Saw this on Youtube, LMAO,imepata viewers kibao, unbelievable ha ha.

    ReplyDelete