Saturday, April 10, 2010

Afariki Baada ya Kubikiriwa na Kulawitiwa na Mume Wake!


Jamani, kwa kweli nimesikitika sana baada ya kusoma habari hii. Huko Yemen, kuna binti wa miaka 13, ambaye aliozwa na wazazi wake kwa kijana mwenye miaka 23. Siku ya ndoa, mume wake alimfunga kamba, alimtoa ubikira , kamnajisi na pia kamlawiti! Hospitali walisema kuwa uke na mkundu ulikuwa umechanika! Jamani! Jamani!

Mola aipokee roho ya binti na kumweka mahala pema peponi. AMIN.


********************************************************

SHUEBA, Yemen (AP) - A 13-year-old Yemeni child bride who died shortly after marriage was tied down and raped by her husband, her mother said.

Nijma Ahmed, 50, told the Associated Press late Friday that just before her daughter lost consciousness she described how her 23-year-old husband had tied her up and forced himself on her. She bled to death hours later.

Elham Assi died April 2, four days after she was married. A forensic report said her vagina and rectum were deeply ripped, causing her to hemorrhage.

The practice of marrying young girls is widespread in impoverished Yemen. Traditional families prefer young brides and poor families can be lured with hundreds of dollars in gifts.

The UN child agency, UNICEF, says one of three girls in Yemen is married before the age of 18.
"Early marriage places girls at increased risk of dropping out of school, being exposed to violence, abuse and exploitation, and even losing their lives from pregnancy, childbirth and other complications," said regional director Sigrid Kaag, in a statement Wednesday condemning the death.

Tribal custom also plays a role, including the belief that a young bride can be shaped into an obedient wife, bear more children and be kept away from temptation.
Last month, a group of the country's highest Islamic authorities declared those supporting a ban on child marriages to be apostates.

A February 2009 law set the minimum age for marriage at 17, but it was repealed and sent back to parliament's constitutional committee for review after some lawmakers called it un-Islamic. The committee is expected to make a final decision on the legislation this month.
The issue of Yemen's child brides got widespread attention three years ago when an 8-year-old girl boldly went by herself to a courtroom and demanded a judge dissolve her marriage to a man in his 30s. She eventually won a divorce, and legislators began looking at ways to curb the practice.

In September, a 12-year-old Yemeni child-bride died after struggling for three days in labor to give birth, a local human rights organization said.

8 comments:

  1. emi angalia sana lugha unayotumia. hiyo articloe haijasema kalawitiwa. ni kuwa kaingiliwa kikawaida lakini kutokana na umri kachanika na hivyo kuma kuungna na mkundu lkn sio kulawitiwa.

    pia kisheria kubakwa ni kwa watu wasio mume na mke huyu hakubakwa bali ameingiliwa ijapokuwa ameumizwa na kuepelekea kifo chake.

    tatizo la yemen ni umasikini kupindukia. ni nchi pekee katika ghuba isiyo mafuta hivyo watu ni hohe hahe. bangi, mirungi na ukosefu wa kazi vimeenea kila pahala. hivyo mtu akijiwa na kijana kuposa binti yake anakubali hata kama ni mdogo mradi apate fedha za kumsaidia siku chache. matokeo yake ndio hayo.

    ReplyDelete
  2. ...Inasikitisha sana.....Wazazi wengine wanakosa utu kabisa...

    ReplyDelete
  3. Hahahah Maggie wewe ndo una matatizo! Unaposema sheria una refer sheria za wapi? unaposema ni mdogo una refer udogo kwa definition ya wapi? Wewe unaiangalia hii case kwa mitizamo ya kimagharibi, sababu uko brain washed na elimu ya kimagharibu, na sheria na desturi za kimagharibi...lakini tukio hilo limetokea kwenye mazingira ya watu wasiofuata hiyo sheria na desturi za hao unaowaabudu wewe na kuona kila wakufundishacho na kukwambia ni sahihi basi ni sahihi! Wao kwa sheria zao ukiolewa hakuna kubakwa (mume habaki), na kwa desturi zao mtoto akivunja "ungo" kubaleghe ni tayari amekuwa mkubwa! Hiyo ndio definition yao ya mtoto kuwa mkubwa! Sasa wewe hukatazwi kuwa na mitizamo yako na sheria zako na desturi zako...lakini pia hupaswi kumuingilia mwenzako kwa kufuata sheria zake na desturi zake. Sababu nyote mmetumia akili zenu kutengeneza sheria na desturi zenu. Una haki tu yakumuhukumu mtu kama atakuwa amevunja sheria za sehemu husika au amekengeuka desturi za sehemu husika....mathali hiyo case ingetokea, au Uk, au USA, basi unegkuwa na haki ya kulalamika , sababu kwa mujibu washeria zao, na desturi zao huyo ni mtoto na kabakwa! Lakini hata Tanzania hakuna sheria ya mke kubakwa na mumewe! Kwa hiyo Mdau africa ameiangalia case kwa mazingira yaliyotokea. Chukulia mfano huu; ukikamatwa na mtoto wa kike unazininae huko Saudi arabia utapigwa mawe hadi kufa au utapigwa viboko 100 (kama hujaowa), lakini ukikamatwa na mtoto huyo huyo wakike unazini nae huko zanzibar basi utaozeshwa ndoa ya mkeka! Sasa huwezi kusema wasaudia ni wabaya au wa zenj ni wabaya, sababu kila mmoja amehukumu kwa mujibu wa desturi zao!

    ReplyDelete
  4. Dini/serikali gani hii inayoruhusu kuoa watoto wa miaka 13?

    ReplyDelete
  5. Che Mponda uwe unatumia tafsida wengine tupo na mama zetu hapa kha! mpaka aibu.
    Mdau Fidel.

    ReplyDelete
  6. mungu apishie mbali yasiendeleee tukia.

    ReplyDelete
  7. Mimi namlaumu mume wake. Alivyoona mtoto analia kwa maumimvu na kutoka damu, aliendea tu! Alimfunga kamba ya nini? Kweli anastahili kufungwa!

    ReplyDelete
  8. Japo nimechelewa kutoa comments zangu, but I concur with Maggie, and am still shocked with the 'Lawyer's' comments. Hizi sheria 'zetu' na sheria 'zao' ndio zipi? with or without sheria unaona ni sawa kumpeleka binti yako wa miaka 13 akafanyie hivyo na atakayeshangazwa na vitendo vyako ukamtuhumu kuwa yuko 'brainwashed'? Am really missing your point here!
    Kama kuwa na mtazamo huo ni kuwa brainwashed, basi I am very happy to be brainwashed!

    ReplyDelete