Wadau, huko Bongo si ndo tunasema jamaa kafia juu? Eti utamu ulimwua. Nadhani ni heart attack! Labda kweli utamu ulificha maumivu. Hata hivyo mwaka 1990 katika Hoteli ya Kunduchi mzungu alifia juu ya malaya. Sisi waandishi wa habari tulikuwa kwenye semina pale. Basi meneja wa hoteli alimpigia simu mke wa marehemu sijui ilikuwa Norway, kumweleza kuwa mume wake kafa na alikufaje. Mke wake alisema jamaa alikuwa na matatizo ya moyo, shauri zake kama kafia juu ya malaya!
BOFYA PICHA kusudi iwe kubwa zaidi.
PICHA KWA HISANI YA MDAU B.S. wa Dar
Inawezekana alitumia viagra na pengine alikuwa na ugonjwa moyo au pressure.
ReplyDeleteIndeed a nice way to die!
ReplyDeletemmh! hyo k*** ilikuwa tamuuuuu sana nahic duh!
ReplyDeleteTaarifa hii ya "Sexual sweetness" imetolewa na msemaji wa polisi na siyo daktari.
ReplyDeleteKuna kipindi hapa Marekani kinaitwa 1000 ways to die na walishaliongelea hili swala kwa mtazamo wa kitiba. Ni kweli mtu unaweza ukafa kutokana na utamu. Walisema kwamba sehemu ya ubongo inayotoa ile kemikali inayotufanya tusikie raha (dopamine) ikisisimuliwa sana wakati wa ngono inaweza kutoa dopamine nyingi kupita kiasi na hii inaweza kuathiri uwezo wa moyo wa kusukuma damu nyingi ambayo inahitajika katika tendo hili. Nikipata link kuhusu tukio hili nitarudi na kuiweka hapa. Au kama kuna madaktari hapa basi pengine wanaweza kufafanua zaidi.
Chemi habari za leo, jinsi unavyosimulia hizi habari nikikumbuka na nyingine zilizopita napata hisia wewe pia mtaalamu please naomba nafasi moyoni mwako. mpenda swahili time .Texas,us
ReplyDeleteJamaa kafa kifio kitamu!
ReplyDeleteAma kweli nzi hufilia kidondani!! Jamaa kaponda uhondo mpaka akaamua kuvuka 'beyond' mbingu!!
ReplyDelete