Wednesday, June 06, 2012

Kisonono Kisichotibika Unasambaa Duniani

Wadau,  kuna taarifa kuwa kuna aina mpya ya Kisonono kisichotibika unayoambaa duniani.  Zamani ilikuwa ukiambukizwa unachoma sindano ya PPF (Penicillin) gonjwa kwisha!  Sasa hizo sindano wala antibiotics za aina yotote hazitibu! 

Si itakuwa balaa ugonjwa huo ukiingia barani Afrika.  Kwanza waafrika wengi hawapendi kutumia kondomu. Wanataka mavituuz  (ngono) yao kavu au nyama kwa nyama!  Halafu wanaume wengine Afrika hawawezi kulala bila kupata vituuz! Ume ukisimama ubongo unahamia hapo.

Wadau fanyeni ngono kwa usalamaili tuepuke ugonjwa huo balaa.

********************************************

WHO: Sexually-transmitted superbug could be major crisis


A major public health crisis is emerging, in the form of a sexually-transmitted disease that doesn't respond to antibiotics, World Health Organization officials said Wednesday.

Gonorrhea is one of the most common sexually-transmitted infections. It is spread through oral, vaginal and anal sex. About 106 million people worldwide become infected every year.

"Once this organism develops full resistance to this last antibiotic that we have, we have nothing else to offer to these patients," says Dr. Manjula Lusti-Narasimhan, scientist at the Department of Reproductive Health and Research at WHO.

The organization has just released a global action plan encouraging greater awareness and advocacy, research, increased prevention efforts and monitoring of gonorrhea treatment failure. The same sorts of prevention messages apply for gonorrhea as for HIV/AIDS: Practice safe sex - correct and consistent use of condoms - and limit the number of sexual partners.

Australia, France, Japan, Norway, Sweden and the United Kingdom are among the countries reporting cases of gonorrhea that does not respond to cephalosporin antibiotics, which is the last treatment option against gonorrhea. These are developed countries with good health care systems, meaning countries less well off may be even more at risk for a crisis.

KUSOMA TAARIFA KAMILI BOFYA HAPA:

12 comments:

  1. Mungu atunusuru! hebu fikiria ikiingia kijijini. Watu watasema wamerogwa!

    ReplyDelete
  2. Dada Chemi, hivi hatusema kisonono kisichotibika???

    ReplyDelete
  3. Chemi sasa umechemsha kiswahili,ni kisonono kisicho tibika,pili tujiepushe na ulafi wa ngono,tatu turudi kwa Mola wetu ndiyo njia pekee ya kujilinda.

    ReplyDelete
  4. Asanteni kwa sahisho! Lakini jamani tumieni kondomu tuokoea maisha!

    ReplyDelete
  5. Hii kali. Navyoelewa wanaume Afrika wataendelea kula laivu. Wanapenda hiyo raha ya sekunde chache kuliko maisha yao.

    ReplyDelete
  6. Ndio, tumieni kondomu na pia epukeni kunyonya.

    ReplyDelete
  7. Kwa taarifa Chemi mimi navaa mbili hadi sukari na chumvi navisikia kwa mbaali kwa usalama na kuchukua madakika kufika,maana ikipasuka moja backup ipo tayari,ha ha ha!!!!!

    ReplyDelete
  8. Mimi nafuata maelezo Steve Harvey natumia roughrider round ya kwanza kwani imara pia inampandisha mashetani na mahoka mshirika mwenzangu.

    ReplyDelete
  9. Mimi lazima ninyonye! Utamu kolea! Nimeamua kuwa responsible na kuoa na kuwa katika MONOGAMOUS RELATIONSHIP!

    ReplyDelete
  10. Aaa!!!Kunyonya ndiyo utamu wenyewe ila tumia vifaa ya kunyonyea mkeka na kondomu za ulimi,mambo ni high tech.

    ReplyDelete
  11. Da Chemi, huyo mdau anayetushauri tuache kunyonya amenichanganya maana mimi ndio ugonjwa wangu. Ni heri nisifanye kitu kingine chochote lakini ninyonye. Labda hapa tunahitaji ushauri wa wataalam kuhusu kuonyonya na magonjwa ya zinaa.

    ReplyDelete
  12. uume ukisimama akili inaelekea huko sasa wewe unataka iweje huo ndio uhai bila hivyo dunia isingekuwepo,maana dunia ni watu na viumbe vilivyomo ambavyo navyo vimeumbwa kike na kiume wacha tufaidi raha ya dunia na hasa ukifika wakati wa kukojoa ndio hatari zaidi na yale mapumzi weacha tu

    ReplyDelete