Tuesday, February 19, 2013

Tanzania Form Four Results - Asilimia 60 Wamefeli!

 Jamani, tunachekwa! Inakuaje asilimia 60 ya wanafunzi wapate Division 0 (yaani BUYU)!!! Shule za Tanzania zimeoza hivyo?  Je, walimu hawana kipaji cha kufundisha au wanafunzi hawataki kujifunza?

*60% of Tanzania students fail O Level exams

By Monitor Correspondent
 
Tuesday, February 19  2013 at  12:42


Sixty per cent of Tanzanian students who sat last year’s ordinary secondary level examinations attained the lowest grade possible, government results released on Monday show.
Close to 54 per cent of students tested picked up Division Zero in National Form IV exams, a big rise from the 32 per cent who had failed to score in 2011.
Some were so dismal that they instead resorted to writing insults on the answer sheets after the realisation that they were completely unprepared.
Private schools dominated the charts of best performers. Of the top 20, only two public schools made it to the list, with a flustered government blaming inadequate teachers and poor infrastructure.
Some 397,126 students of the 411,230 who were registered sat the national exam. Of these, only 23,520 of these managed to score between Division One and Division Three, just under six per cent of those who were eligible.
Some 1,641 scored Division One, a drop of 0.68 per cent on the number of those who excelled the previous year.
Tanzania has a basic five-tier educational structure, with those who pass Form IV proceeding for two more years of advanced secondary education if they so elect.
The results of 789 pupils were nullified for cheating, a drop from the 3,303 who opted to use unfair means in 2011.
Some 24 students will be charged in a court of law for using insulting language in the examination.
"We cannot tolerate this habit, those who wrote abusive words should be charged as barring them from attempting the exams prepared by (national examining body) Necta is not enough," Educational and Vocational training minister Shukuru Kawamba said.
They will also not be allowed to take any examination prepared by the National Examination Council (Necta) for a year and may face the law as per examinations regulations.
The results of close to 30,000 students were withheld and will be released only when they pay their examination fees.
As in previous years, boys performed better than girls: of the students who scored Division One, only 568 were girls as opposed to 1,073 boys.
Some 16,342 boys scored between Division One and Three, compared to 7,178 girls.
There is little difference though between boys and girls who completely failed their examination: a total 120,664 boys scored Division Zero, comparable to 120,239 girls.

 http://www.monitor.co.ug/News/World/60--of-Tanzania-students-fail-O-Level-exams/-/688340/1698468/-/svhar9z/-/index.html

4 comments:

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. Shida iko wapi. Futa sifa ya kuingia Kidato cha Tano (kwa sasa ni C tatu) ili waweze kuendelea na kufeli kwenye ngazi ya juu zaidi.

    Ninakubaliana na wazo la kuwajibisha lakini upande wa sekondari tuanze na wale walioshinikiza shule za ukata bila maandalizi yoyote. Sekondari ilikuwa ICU hata kabla ya hapo lakini shule za ukata ndio jeneza. Kwa mfano, Kilwa kabla ya majengo hayo yaliyobatizwa kwa jina la shule kulikuwa na shule za sekondari tano. Hazikutosha hii ni wazi lakini angalau zilikuwa na walimu wa kutosha na watoto wengine wa Kilwa walikuwa wanafaulu vizuri. Kwa miaka 5 tu shule zikaongezeka hadi 26 kwa hiyo walimu bora wote wa zile shule 5 wakapelekwa kuwa walimu wakuu bila walimu wa shule hizi za ukata, kwa hiyo hata zile shule tano zikafa! Laiti kungekuwa peace crimes tribunal ningewapeleka mbele ya tribunal moja kwa moja kwa kuua elimu na kusababisha ujinga uliokithiri pamoja na chuki na hasira ya kizazi kizima na labda hata vizazi viwili

    ReplyDelete
  3. Katika zile shule ambazo waziri alisema wana miundombinu muhimu yote waweza kusema kwamba wako wanafunzi wazuri na wabaya, wenye akili na wasio na akili, makini na wasio makini. Lakini mahali ambapo hakuna walimu wala vitabu n.k. huwezi kutofautisha hivyo. Hata wale wazuri wataharibika. Kuna wakati fulani nilikuwa nawafundisha waelimishaji rika huko Newala. Alikuwepo mmoja aliyekuwa anasubiri matokeo mwaka jana na wote walisema ataokoa shule maana ana akili kwelikweli. Na kweli alikuwa na akili. Na kweli aliokoa shule maana shule nzima '0' yeye Div IV. Sasa angekuwa shule ya maana angekuwaje?

    ReplyDelete
  4. jana nilikuwa nasafiri kutoka Kigoma kuja Dar mwanfunzi mmoja wa chuo kikuu ambaye alisoma Jitegemee akawa anauliza rafiki zake kuhusu matokeo katka shule hiyo jibu likawa kati ya wanafunzi 700 waliofanya mtihani 300 wamepata alama 0 kukiwa na div one nne tu.
    Azania, Makongo hali ilikuwa mbaya zaidi ikiwa ni shule ambazo watu wanadhani zimekuwa na ufaului mzuri

    wazazi kila walikokuwa wakipiga simu hali mbaya mwisho wa siku msimamo wa wasafiri ukawa kutaka Wziri wa elimu ajiuzuru lakini je kilio hicho kinasikika kupitia wapi?
    nikagundua watanzania walioguswa na matokeo ni wengi nai si suluhisho la kumtoa waziri lakini walitaka tupate pa kuanzia katika kushughulikia tatizo hilo.

    ReplyDelete