The Late Mzee Ally Kleist Sykes |
May his soul rest in eternal peace. Amen.
*********************************************************************
FAMILIA
YA SYKES INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE WAO ALLY KLEIST SYKES
(PICHANI) KILICHOTOKEA LEO MEI 19, 2013 KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN
JIJINI NAIROBI, KENYA, ALIKOKUWA AMELAZWA.
MSIBA UKO NYUMBANI KWA MAREHEMU MBEZI BEACH JIJINI DAR ES SALAAM. MWILI WA MAREHEMU UNATARAJIWA KUWASILI JIJINI USIKU HUU.
MAZISHI
YAMEPANGWA KUFANYIKA KESHO MEI 20, 2013 KATIKA MAKABURI YA KISUTU BAADA
YA MWILI WA MAREHEMU KUSWALIWA KATIKA MSIKITI WA KIPATA WAKATI WA
SWALAT ALAASIR.
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.
Inna-na lillahi wa inna ilayhi raji'un.
Hakika sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu, na kwake tutarejea.
Surely we belong to Allah, and to Him shall we return.
Kwa kifupi Baba yake alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa harakati za kupigania haki za Waafrika. Hapo ndipo waliasisi AA na kisha TAA. Ally na kaka yake Abdullwahid na mdogo wao Abbas na wana-Dar es salaam wengine walimkaribisha Julius ndipo kuka-asisiwa TANU.
ReplyDeleteRest In Peace Mzee Ally Sykes.
ReplyDelete