Showing posts with label Andrew Zimmern. Show all posts
Showing posts with label Andrew Zimmern. Show all posts

Tuesday, April 14, 2009

Bizarre Foods TV wako Bongo Leo!


Minnesota’s Andrew Zimmern will be in Tanzania in tonight’s episode:

http://www.travelchannel.com/TV_Shows/Bizarre_Foods

****************************
Kwenye hiki kipindi jamaa anatembelea nchi mbalimbali na kula vyakula ambavyo wazungu wanaona vya ajabu. Mfano anakula nyoka, nge, ubongo, macho ya wanyama.

Nadhani Bongo atalishwa samaki nchanga na supu ya utumbo wa mbuzi!