REST IN ETERNAL PEACE BI KIDUDE!
QUEEN OF TAARAB! KUNGWI MKUU WA TANZANIA!
![]() | ||
| The Late Fatuma binto Baraka aka. Bi Kidude (1910(?) - 2013) |
Read more about Bi Kidude HERE
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
![]() | ||
| The Late Fatuma binto Baraka aka. Bi Kidude (1910(?) - 2013) |
![]() |
| Bi Kidude |




Hivi Bi Kidude ana miaka mingapi? Sasa anadai kuwa ana mika 113. Lakini anasema hajui alizaliwa lini. Mimi nilimwona Zanzibar mwaka 1993 na wakati huo alisema ana miaka 80. Kwa hiyo nahisi kama ana miaka 94.