Showing posts with label Brazil. Show all posts
Showing posts with label Brazil. Show all posts

Friday, December 04, 2015

Wanyonya Ume wa Mchungaji Wao Ili Wapone Maradhi Yao!

http://www.eurweb.com/wp-content/uploads/2013/02/valdesi-sobrino-picanto.jpg
Pastor Sobrino Valdeci Picanto wa Brazil
 
Mchungaji huko Brazil  Rev. Sobrino Valdeci Picanto, wa kanisa la pentecostal (walokole) aliwadanganya waumini wa kike kuwa wakinyonya ume wake (mboo) watafaidi maziwa maalum ambayo yatapona maradhi yao. Wengine aliwaambia watatajrika. Alisema kuwa ume wake unatoa maziwa enye nguvu na baraka kutoka kwa mwenyezi Mungu!  Alisema ni lazima dawa imwagwe mdomoni ndo iwe na nguvu.

Jamani, tangu lini maziwa ya baraka yanatoka kwenye ume? Sana sana utapata ugonjwa wa zinaa au mimba! Huyo jamaa alipenda anyonywe tu! Mchungaji Picanto yuko gerezani kwa kosa la ubakaji sasa.

Acheni kundangayika!

Kusoma habari kamili BOFYA HAPA!

Tuesday, July 08, 2014

Brazil Wapondwa Vibaya na Ujerumani Katika Mashindano ya World Cup!

Katika Mashindano ya Kombe la Dunia huko Brazil, Brazili ilipondwa vibaya sana na Ujerumani!  Brazil wameanguka  1-7.  Duh! Hata Pele ana aibu!

Kwa habari za Ushindi wa Ujerumani BOFYA HAPA:

Shabiki wa Brazil akilia machozi baada ya Brazil Kutolewa katika mashindao ya World Cup. Unaweza kuona picha zaidi kwa  KUBOFYA HAPA:

Thursday, April 03, 2008

Ugonjwa wa Dengue Fever yaikumba Brazil!!


Huko Brazil watu 57,000 wanaumwa na watu 67 wamekufa hadi sasa. Hali imekuwa mbaya mapaka wanaomba msaasda wa madaktari kutoka nje.

Dengue fever unasambazwa na mbu! Huo ugonjwa ni taofauti na malaria. Unaumwa misuli na kichwa. Unatapika na kuharisha damu. Pia damu unaweza kutoka sehemu zingine za mwili kama macho! Sasa ikiingia Afrika si itakuwa balaa.

*****************************************************************************

RIO DE JANEIRO, Brazil (AP) -- A Brazilian official says he is considering asking Cuba to send doctors to help care for the victims of a burgeoning dengue epidemic that has infected more than 45,000 people, killing at least 67.

An 11-year-old boy is seen by a military doctor last weekend at a field hospital west of Rio de Janeiro, Brazil.

Rio de Janeiro Gov. Sergio Cabral said he would wait until the weekend to decide whether it was necessary to ask for help from abroad.

Earlier this week, the government appealed to other Brazilian states to send 154 pediatricians to help out with the epidemic.

The military has also been called up to help fight the mosquito-borne disease that causes high fever, headaches and joint pains but is not usually fatal.

So far, the armed forces have set up three field hospitals, but a shortage of doctors has complicated treatment efforts.