Showing posts with label Caster Semenya. Show all posts
Showing posts with label Caster Semenya. Show all posts

Tuesday, July 06, 2010

Caster Semenya Aruhusiwa Kukimbia Kama Mwanamke


Yule mwanariadha kutoka Afrika Kusini ambaye watu hawakujua kama ni jike au dume ataruhusiwa kukimbia na wanawake.

Jamani, Sijui nyie lakini mimi namwona Caster Semenya kama ni mwanaume vile. Angekuwa hapa Marekani mashoga wangemfurahia kweli kweli! Kama mtakumbuka wataalam waligundua kuwa amebarikiwa kuwa na nyeti za kike na za kiume. HERMAPHRODITE. Ingawa kwa nje anaonekana kama dume, inaelekea nyeti za kike zinatoa hormones zaidi.

Hebu wataalamu wa Sayansi mtusaidie kuelewa. Walijaribu kumpamba aonekane kama mwanamke, lakini sauti bass pale pale, mikono mikubwa, hana dalili ya matiti, shepu dume dume!

Kwa habari zaidi someni:

Friday, September 11, 2009

Semenya ana Nyeti za Kike na za Kiume!


Makubwa! Habari zinasema mkimbiaji wa Afrika Kusini, Caster Semenya ana nyeti za kike nza za kiume. Inaelekea hizo za kiume zimeshika hatamu! Hana ovaries wana kizazi, hivyo hataweza kuzaa kama ni mwanamke. Pia ana mapumbu mawili ambazo hazijashuka. Sijui wataamuaje. Pichani wamempa MAKEOVER ili afanane zaidi na mwanamke.
********************************************************

IAAF urges caution over Semenya intersex claims

(CNN) -- The international governing body for athletics urged caution Friday after reports that the world-champion South African runner Caster Semenya has both male and female organs.

The front cover of You magazine shows Semenya after a recent makeover.

The Sydney Morning Herald in Australia and The Sun newspaper in Britain reported that gender tests ordered by the International Association of Athletics Federations (IAAF) show the 18-year-old is a hermaphrodite.

Neither paper named the source of their information. IAAF spokesman Nick Davies would not discuss the findings with CNN. "I simply haven't seen the results," Davies said.

"We have received the results from Germany, but they now need to be examined by a group of experts and we will not be in a position to speak to the athlete about them for at least a few weeks.

"After that, depending on the results, we will meet privately with the athlete to discuss further action." Has Semenya been treated fairly?
The IAAF issued a statement, saying no decision on the case will be announced until the experts can look at the results.

A final decision regarding the case is not expected before the IAAF Council meets in late November in Monaco, the IAAF said.

Davies also said the news reports should be treated with caution. The newspapers said extensive physical examinations of Semenya show she has no ovaries, but rather has internal testes, which are producing large amounts of testosterone. What is intersexuality?

Mnaweze kusoma story nzima hapa:

Thursday, August 20, 2009

Je, Semenya ni Mwanamke au Mwanaume?


Wadau, kuna huyo binti kutoka Afrika Kusini, Caster Semenya (18). Ni mwanariadha na ameshinda katika kukimbia mita 800 katika World Athletic Championships (wanawake). Tena aliwaacha wenzake nyuma kabisa!
Sijui, nikimtazama naona kama anashepu ya kiume, lakini uso mzuri wa kike. Halafu ana sauti besi kama dume! Lakini wanariadha wengi wa kike wana shepu za kidume, matiti na hips hakuna. Kama ni mwanamke nampongeza nadhani tutasikia mengi kutoka kwake. Hivi sasa wataalam wanampima na tutajua matokea baada ya wiki tatu.
Ila najua Afrika kuna watu wanazaliwa na nyeti zote mbili, na wanalelewa kama mtoto wa kike au kiume kwa chaguo la wazazi.
Mnaonaje?
Kwa habari zaidi someni: