Showing posts with label Eric Garner. Show all posts
Showing posts with label Eric Garner. Show all posts
Wednesday, September 09, 2015
Saturday, June 20, 2015
Ubaguzi Marekani!
Yaani kama huyo kijana wa kizungu aliyeua watu 9 huko South Carolina angekuwa mweusi polisi wangemwua! Alikamatwa na kurudishwas South Carolina kwa ndege! Eric Garner alikuwa anauza sigara tu, walimwaua! Mimi binafsi nilikuwa namfahamu marehemu Eric, alikuwa jitu kibonge cha mtu lakini mstaarabu.
Wednesday, December 10, 2014
Subscribe to:
Comments (Atom)





