Showing posts with label Gowns. Show all posts
Showing posts with label Gowns. Show all posts

Monday, May 18, 2009

Picha za Prom

Wadau, hapa Marekani watoto wakimaliza Form 4, wanafanya sherehe kubwa ambayo inaitwa PROM. Wanavyojiandaa kwa mavazi, usafiri wa limo, hoteli, utadhani ni arusi. Nimetumiwa hizi picha za nguo vijana waliovaa kwenye Prom mji fulani hapa USA. Nimetafsiri captions.


Tukae kimya dakika moja tuombee hao ndege.Doh! Mnaweza kuona chupi!
Hivi ilikuwa lazima ageueke? Na huko nyuma ni madudu gani tena?Huyo dada anaenda Prom au Beach?

Njemba kalazimishwa kwenda na huyo dada!
Nywele ya Maiti

Hajawahi kusikia habari ya deo za Invisible Solid?

Hata Mbwa kapakwa rangi!

Hao wamevaa nguo za kulala?

Huyo naye denti?
Yaani huyo bado anasoma Sekondari?

Njemba atahitaji 'counselling'!