Showing posts with label Kubalehe. Show all posts
Showing posts with label Kubalehe. Show all posts

Wednesday, April 13, 2011

Wasichana Wanawunja Ungo na Miaka 7 Sasa!

Wadau, hii sasa balaa. Hapa Marekani idadi ya wasichana wadogo wanavunja ungo wakiwa na miaka 7 inaogezeka! Mimi nadhani ni chakula. Hapa kuku, ng'ombe wanalishwa ma hormones kusudi wakuwe haraka. Binadamu wakila hiyo nyama wanapata hormone za kukua haraka.

Lakini jamani unakuta kasichana kana matiti. Wavulana wanamtongoza wakidhani ni mkubwa. Wakati mwingine utasikia mtoto wa miaka 8, 9, 10 amezaa! Ni balaa!

********************************************************************************** Menstruating at age 7? Docs Baffled why Girls going through Puberty Earlier, Getting Periods Younger

Tuesday, April 12th 2011, 4:00 AM

According to a study from 2010, over 18% of girls are entering puberty at age 7.

Padded swimsuits for all? Abercrombie and Fitch marketing padded tops to young girls. For parents Claudia and Joe, the onset of daughter Laila's puberty has proven to be more stressful then they could have imagined.

By the time Laila was 6, she had grown pubic hair, and by age 7, her breasts had begun to develop according to USA Today. Out of respect for their daughter's privacy, the couple chose not to publish the family's last name.

Laila's case, however, is no longer a rare one. Doctors are finding early onset puberty more prevalent in young girls with no real understanding of the cause. According to a study from last year in the academic journal Pediatrics, about 15% of American girls now enter puberty by age 7. For African-American girls, like Laila, that statistic is even higher, with 23% hitting puberty at the same age.

"This is an issue facing the new generation," Laila's doctor Pisit (Duke) Pitukcheewanont, a pediatric endocrinologist at Children's Hospital of Los Angeles, who treats girls with early puberty told USA Today. "Many parents don't know what is going on."

In the past, girls would hit puberty much later thanks to poor nutrition and living conditions which prevented the accumulation of body fat many believe is necessary for the body to prepare for pregnancy. Today, most researchers have honed in on numerous reasons for childhood puberty including obesity, prematurity, genetics, hormone-like environmental chemicals, family stress or even, a brain tumor.

"Over the last 30 years, we've shortened the childhood of girls by about a year and a half," said Sandra Steingraber, author of a 2007 report on early puberty for the Breast Cancer Fund, an advocacy group. "That's not good." The consequences for early physical changes are equally numerous.

According to Steingraber's report, hitting puberty as a child increases girls' chances of depression, drinking, drug use, eating disorders, behavioral problems and attempted suicide. Physically, too, girls are at a higher risk of developing breast and uterine cancers because their bodies are exposed to estrogen for a longer period of time.

For others, like Laila, growth spurts at young ages limit the total amount of time the girl will grow in later years, leaving Laila - tall and slim now - to be shorter than many of her friends later, her father said.

Monthly hormone shots can offer some consolation for girls hoping to slow breast development and menstruation. Laila is undergoing one of the newer forms of hormone therapy which is implanted only once a year.

As of now, she has not experienced any side effects and her parents are planning for one more implantation before letting nature run its course. "She is still our baby," Claudia said. "But to look at her now, and think that she is growing faster than the average, we can't help but to feel like we are being rushed through her primary years."

KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA:

Friday, June 11, 2010

MZimbabwe Abaka Msichana New Jersey

Nyie wanaume kutoka Afrika, mkija Marekani poozeni hizo dhakari zenu. Kuna kijana kutoka Zimbawe mwenye miaka 19 tu ambaye anashitakiwa kwa kubaka huko New Jersey. Ilitokea baada ya Prom, yaani sherehe ya kumaliza Form Four. Hapa Marekani mwanamke akisema basi, manake basi! La sivyo mtafungwa na kuchafuliwa majina na kuitwa sex offender. Kijana huyo ni mwanafunzi na alikuwa ana kaa na host family. Nyege zimemponza. Anashikiliwa kwa dhamana ya $125,000. Huyo ambaye kabakwa lazima atakuwa mzungu, dhamana kuwa kubwa kiasi hicho!

Inaelekea kijana alishikwa na nyege mshindo. Binti ambaye kabakwa alikuwa amezimia kwa ulevi. Wenzake walimkuta anafanya mambo yake na kuanza kumpiga! Mnaweza kusoma habari kamili hapa:
http://www.cliffviewpilot.com/bergen/1355-northern-valley-student-charged-with-raping-fellow-senior-at-seaside-heights-motel

Pia,bado kuna mawazo finyu kuwa waafrika wana uume/miboro kubwa kuliko watu wengine. Hivyo wanawake watawashiwishi kutaka kuziona.

****************************************************

N.J. Prom-Party Rape Raises Red Flag


OLD TAPPAN, N.J. (CBS)

It was a nightmare for a teenaged girl celebrating her prom. She was raped during a party that was supposed to be joyous and memorable.

She was part of a group from Bergen County that traveled to the Jersey Shore last week to live it up.

It's a dangerous tradition that has changed the way some schools celebrate their proms.

Could this attack have been prevented? That's what students and parents at Northern Valley Regional High School are asking.

Jackie Finno is an 18-year-old who will be going to her senior prom on Friday night. Then, as the tradition goes, she and her friends will head to the Jersey Shore.

But news an 18-year-old girl was allegedly raped at her after-prom party at the Shore last Friday has Finno on edge.

"When I found out it was terrible. Oh my God. It's very nerve-wracking," Finno said.

But Finno's mother said she's still willing to let her go.

"With much stipulation and we trust. And we trust her and we trust her choices and we have to start letting her go, even through all these tragedies that occur," LeeAnn Finno said.

Police said 19-year-old Matthias Kabette from Zimbabwe and a senior at Northern Valley raped a classmate at a motel in Seaside Heights on June 4. Members of Kabette's host family declined to speak to CBS 2 HD on Thursday night.

"I can't comment I'm sorry," one said.

Students who know the suspect were stunned.

"He's a really nice guy. Like I can't see any bad sides about him," Eugene Kim said.

"I played soccer with him. He was a really nice kid," another student said.

Now parents and students are questioning if the alleged attack could have been prevented.

"I think it's an issue that you are giving teenagers today the freedom to go down to the shore at 16, 17 years old," one parent said. "You're asking for trouble."

Northern Valley junior Christian Mecca said he'd support a midweek prom, like many area high schools already have.

"Because it keeps people out of trouble. It is kind of a tradition to have it on a Friday and you're with your friends for the weekend. But I feel like, just everyone's just gotta be responsible," Mecca said.

Parents said they also bear the responsibility, but feel timing makes no difference.

"Do you think the day of the week probably would've mattered to this kid? Probably not," parent Mike Poole said.

"Is it something that can be completely avoided in our world? Unfortunately not," LeeAnn Finno added.

Kabette, who is studying in the U.S. on a student visa, is being held on $125,000 bail.

Tuesday, March 24, 2009

Kubalehe



Navyoona ni vizuri vijana waelemishwe kuhusu mabadiliko mwilini mwao. Pia kuepusha mimba wakiwa na umri mdogo na kuambukizwa magonjwa ya zinaa.

Kwa vijana wanaokaa mijini wanaelimishwe na vijana wenzao na mara nyingi wanapotoshwa. Oh hutapata mimba kama ukitia sabuni huko. Au, kijana anaamibwa hawezi kutia msichana mimba kama atamwaga nje!

**********************************************
Nadhani mzungu ameandika hii, lugha si ya Bongo.

Kutoka BBC

Kubalehe

Kubalehe ni sehemu moja muhimu ya maisha yetu. Wakati huo mwili na akili hukumbwa na mabadiliko makubwa ya kukua kutoka utotoni kuelekea ujanani na hatimae utu uzimani.
Wakati huo viungo vya uzazi hukua na kuimarika kujitayarisha kwa uzazi.

Miili ya watu hubadilika kwa kiwango tofauti. Wengine huanza mapema na kuimarika haraka, wengine ikawa ni kwa polepole. Kwa wengi kubaleghe hutokea kati ya miaka 8 na 16, lakini kila mtu ni tofauti. Umri wa wastani kwa wasichana ni kati ya miaka 9 hadi 13 na kwa wavulana ni kuanzia miaka 10 hadi 12.

Vijana wengi hukumbwa na wasiwasi wasijue jinsi ya kukabiliana na mabadiliko hayo... lakini mara nyingi kiwango chochote cha mabadiliko yanayotokea wakati huo huwa ni kawaida na sawa kabisa.

Ni nini hasa kinachotokea?

Mwili huzalisha chembe chembe ziitwazo hormones kwa kiingereza. Wasichana hutoa homoni ziitwazo oestrogen ilhali wavulana wanakatoa homoni ziitwazo testosterone.

Chembe chembe za mwili ndizo ndizo zinazoanjisha utaratibu wote wa hatua za kubaleghe. Huenda pia kukawa na mabadiliko ya hisia mbali yale ya ndani na nje ya mwili.

--------------------------------------------------------------------------------


Swala la kufanya ngono

Je niko tayari kufanya mapenzi?

Swala la kushiriki katika ngono ni swala zito linalohitaji uamzi mkubwa na wa makini. Wasichana na wanawake chipukizi hukumbwa na shinikizo kubwa kutoka kwa marafiki zao na wapenzi wao wa kiume. Lakini kanuni kuu muhimu ni kwamba usifanye kitendo ambacho hujisikii au hutaki kukifanya.


TAYO

Mwili ni wako, na ni muhimu kudhibiti yale yanayotokea maishani mwako hasa yale yanayoweza kuathiri afya yako ya uzazi , hasa kuhusiana na hatari za kupata mimba, na kuambikizwa magonjwa ya zinaa ikuwemo ukimwi.

Basi lini ntakuwa tayari kufanya mapenzi?

Watu wengine hukimbilia kufanya mapenzi bila ya kufikiria kwa makini swala hilo, na baadae kujutia na kutamani wangedumu katika ubikira kwa muda mrefu zaidi.

Kuwa tayari, ni kuwa na hakika kwamba unaelewa ngono ina maana gani, na matokeo au madhara yake yanavyoweza kuwa nini, ili usije kujutia baadaye.

Kumbuka matatizo ya kupata mimba sizizohitajika, magonjwa ya zinaa ikiwemo kuambukizwa virusi vya HIV hutokana na vitendo kama hivi.

Nitajuaje basi kama niko tayari?

Utajua kwa hakika, tu iwapo huo utakua uamuzi wako binafsi.

Utajua uko tayari tu iwapo una uhakika kuwa unaelewa vyema maswala ya ngono na hasahasa afya ya uzazi, na vipi kitendo hicho kinaweza kuathiri maisha yako.

Kwa hivyo usikubali chochote wanachokwambia marafiki zako, ama shinikizo la mpenzi wako wa kiume. Utakuwa na hakika pale utakapokuwa na ufahamu mzuri wa kuelewa ngono ni nini, na jinsi kitendo hicho kitakavyobadilisha uhusiano wako.

Mbali na hayo, ni vyema pia ujue mbinu za kuzuia mimba (iwapo huko tayari kupata mimba) na jinsi ya kufanya mapenzi kwa usalama. Utakuwa na msimamo wa hakika, na hutakuwa na tashwishi yoyote. Utakuwa unaelewa hali halisi ya maisha kwa hivyo hutatarajia iwe kama mifano kwenye sinema. Kama huna hakika na hayo basi huko tayari!

Na je nikiamua niko tayari?

Zungumza na mpenzi wako, na mhakikishie kwamba nyote mko tayari. Jadilianeni kuhusu mapenzi salama na kubalianeni kuhusu njia za kuzuia mimba iwapo hamuko tayari kupata mtoto.

Pangeni ni wakati gani na wapi mtatekeleza haja yenu. Ni vyema pia kujiwekea viwango, mipaka na vima – yaani zungumzeni juu ya jinsi kila mmoja anavyojisikia kuhusiana na mambo kama punyeto, mapenzi ya kunyonyana sehemu za siri, na yale yakuingiliana kupitia sehemu ya haja kubwa.

Kama hamuwezi kuzungumza kwa uwazi na kwa kuaminiana kuhusu maswala haya, basi mwapasa kubadilisha fikra zenu kuhusu kufanya mapenzi.

Kumbuka iwapo utabadili nia na msimamo wako wakati mkijitayarisha kufanya ngono, katika kiwango au hatua yoyote ambayo utakuwa umefikia, una haki ya kutoendelea na kitendo hicho. Pia iwapo umefanya mapenzi mara moja, haimaanishi uendelee kufanya mapenzi! La muhimu ni kuwa uwe ni uamuzi wako, ili usije kulaumu baadae.

Na je, kama nafikiria siko tayari?

Basi usifanye mapenzi, Una haki ya kusema La, na hupasi kujisikia kuwa umekosea, umemkosea mtu unaefanya nae mapenzi au kuwa na hatia kuhusu uamzi wako.

Kumbuka lolote unalofanya ni uamuzi wako - Tafakari juu ya maadili ulojiwekea, juu msimamo wako, juu ya viwango ulivyojiwekea - Je unaonelea ni sawa kubusiana? Kupapaswa? Kunyonyana? Hakikisha mpenzi wako anajua msimamo wako, maoni yako na anaheshimu uamuzi wako.

Umri unaoruhusiwa kisheria kufanya ngono.

Ni kinyume cha sheria kufanya mapenzi kama uko chini ya umri wa miaka 18, lakini si hatia kisheria usipofanya mapenzi hata kwa umri wako wote!
--------------------------------------------------------------------------------

Usenge

Uhusiano wa kimapenzi kati ya mwanamume na mwanamke huitwa heterosexual, kwa kimombo wengi huuita uhusiano wa kawaida.

Lakini uhusiano wa kimapenzi kwa watu wa jinsia moja yaani mume kwa mume au mke kwa mke huitwa Homosexual kwa kimombo, kiswahili ni usenge kwa wanaume (au gay) na usagaji kwa wanawake, pia wakiitwa Lesbians kwa kimombo.

Wasenge na wasagaji ni watu wa kawaida ila wanamapendeleo tofauti ya kingono.

Hata hivyo maisha ya wasenge na wasagaji yanaweza kuwa magumu sana kwa vile watu wengi wana itikadi kali za kuchukia mienendo hiyo kimapenzi.

Hapa tungesema tu kuwa watu hao wanatimiza aina ya ngono wanayoonelea yawafaa .

Utajuaje kama u-msenge au msagaji?

Hakuna anayezaliwa akijijua yeye atakuwa nani maishani, na atakuwa na uhusiano wa kingono wa aina gani baadae maishani.

Ila matarajio ya wengi ni kuwa atakuwa na uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wa jinsia tofauti nae.

Lakini baadhi ya watu huvutiwa na watu wa jinsia sawa na wao. Wale wanaoendelea na kuwa na uhusiano wa kingono, yaani mume kwa mume, ni wasenge, ilhali wasagaji wana uhusiano wa kimapenzi wa mke kwa mke.

Wengine huvutiwa na wanawake na vilevile wanaume kwa hisia za viwango mbali mbali. Hawa nao wakitekeleza aina zote mbili za kingono huitwa bisexuals kwa kiengereza.

Matamanio ya kimapenzi huenda yakabadilika katika maisha yako. Hata hivyo kuwa na hisia tu, za kuvutiwa na mtu ambaye ni mume mwenzako au mke mwenzako, haimaanishi kwamba wewe ni msenge au msagaji.

Kwa wengi hali hizo haziwaathiri na huwa na uhusiano wa kawaida, ilhali wengine wao wakawa wasenge au wasagaji. Kwa bahati mbaya matabaka mengi ya watu wanapinga uhusiano wa aina hii.

Msimamo wa watu wengi na imani ya dini nyingi ni kwamba jambo hili ni mwiko, lililokatazwa, na dhambi kwa Mungu. Huku wengine huchukulia jambo hilo kuwa tisho kwa desturi na maadili yao.

Kwa hivyo kama wewe ni msenge au msagaji, hasa kama humjui mtu mwingine yeyote ambaye ni msenge au msagaji, unaweza kujikuta mpweke ukiona kwamba jamii haikuelewi kwa vile aina ya mapenzi unayofanya ni tofauti na wengine.

Ni vyema pia kujua kuwa uhusiano wa kingono wa watu wa jinsia moja, yaani usenge au usagaji, umepigwa marufuku kisheria katika mataifa mengi ya Afrika yakiwemo mataifa ya afrika mashariki.

--------------------------------------------------------------------------------
Mapenzi ya kunyonyana sehemu za siri

Hii ni hali ya kutumia mdomo wako na ulimi kunyonya uume au uke ili kusisimua hamu ya mapenzi.

Kwa wanaume, mpenziwe humnyonya uume (mboo) na sehemu zinazozunguka eneo hilo ilhali wanawake, mpenzi wake humnyonya mashavu ya kuma, kisimi (kinembe) na eneo linalozunguka uke.

Watu wengi hujisikia wamepata hisia za starehe kubwa katika kitendo hicho, na ni moja ya njia za kumkurubisha kimapenzi mwendani, mpenzi wako. Kuona, kunusa, kunyonya lakini mambo haya kwa kawaida huwa baina ya wapenzi walio karibu sana katika uhusiano wao.

Kwa hivyo ni kawaida kujihisi kutopendelea kufanya mambo kama hayo na mpenzi ambae si wa mda mrefu, au ambae humfahamu vyema.

Je kuna hatari gani ukifanya mapenzi ya kunyonyana sehemu za siri?

Hatari zipo. Bado unaweza kuambukizwa magonjwa ya zinaa, kwa hivyo, ni bora kutumia kondomu naam kondom, labda ujaribu zile zenye ladhaa ya matunda ukipendenda!

Kwani bila kufanya hivyo na ukanyonya sehemu ya siri ya mpenzi wako ilhali ameambukizwa ugonjwa wa zinaa hata kama ni virusi vya HIV, upo uwezekano wa kuambukiwa.

Na kama mvulana ananyonya uke wa msichana pengine atumie kifaa maalum kwa kufunika mdomo kinaitwa "dental dam".

La kuzingatia zaidi, katu usifanye mapenzi ya kunyonyana sehemu za siri iwapo una vidonda vya mdomo au katika sehemu za siri.

Mbali na hayo kuna hatari nyenginezo? Ni lipi lengine ninalopaswa kujua?

Kama unahakika ni salama kufanya mapenzi ya kunyonyama, pia ni vyema kujitayarisha – Oga! Naam usafi wa mwili ni muhimu.

Halafu kuwa mtaratibu na mwangalifu kwani viungo vya sehemu ya siri huwa laini, nyororo na nyeti. Hivyo basi msuguano wa nguvu huenda ukaleta madhara kuliko starehe.

Zaidi ya yote mheshimu mpenzi wako, mengine ambayo kwako ni sawa huenda yasiwe sawa kwake!

--------------------------------------------------------------------------------

Kufikia kilele wakati wa kufanya mapenzi.

Katika harakati za kufanya mapenzi, viungo vya uzazi husisimka na kujisikia starehe ya aina yake. Mishipa ya damu katika viungo hivyo hujaa, na kusikia moyo kupiga kwa kasi - Unapofikia kilele mishipa hushupana kwa haraka, hali hiyo huanzia mkunduni na kuenea kote katika sehemu za siri, na hata kote mwilini na kuleta tukio la kufurahisha.

Katika starehe hiyo mishipa hukakakamka na kuachilia msismko unaombatana na kutokwa kwa ghafla kwa manii kwa upande wa mwanamme (hali inayoitwa ejaculation kwa kimombo) na mwanamke nae hurishai kwa kutoa majimaji kutoka eneo la ukeni.

TAYO

Hali hiyo ya kifikia kilele katika mapenzi huitwa "orgasms" kwa kiengereza. Punde mtu hujisikia mstarehe na mtulivu.
Kila mmoja vilevile ana kile kinachomsisimua zaidi- na uwezo tofauti wa kuhimili hisia za kimapenzi na mhemko.

Kitendo cha kufanya mapenzi, au hata kufanya mchezo tu au kutaniana kimapenzi kwa kushikana shikana na kutomasana na mtu ambaye unajisikia huru nae kuwa na uhusinao wa kimapenzi, kwaweza kukufanya kufikia kilele cha kusimika.

Pia watu wengine kufanya punyeto kama njia moja ya kufikia kilele cha kusimika. Ni vyema kujijua, unaweza kutimiza starehe yako unavyotaka ilmradi tu unafanya hivyo kwa njia salama kwako na kwa mpenzi wako na mradi tu huvunji sheria.

Mbona mie sijawahi kufikia kilele kama hivyo mlivyozungumzia?

Aha – usiwe na wasiwasi. Si kwamba wewe ni mtu aliye na kasoro, au asiye wa kawaida eti kwa kuwa tu hujafikia kilele wakati wa kufanya mapenzi.

Kwa kawaida ni rahisi kwa wanaume kufikia hatua hiyo kuliko kwa wanamke, lakini wanawake wanaweza kufikia kilele cha hamu ya mapenzi kwa urahisi zaidi na kujisikia mustarehe iwapo anapenda kutekeleza au kutekelezewa vitendo hivyo anavyofanyiwa wakati wa kufanya mapenzi. Ikiwa atachukizwa basi usitarajie atasisimka kimapenzi.

Lakini kwa upande wao ni vyema wawe watulivu na kujua hali ya miili yao na kile kinachowastarehesha.

Watu wengine hufikia hali hiyo pale wanapofanya punyeto. Jambo linalowaashiria kile wanachotaka katika kufanya mapenzi.

(Ni vyema kujua pia wavulana na wanaume, wakati wengine hutokwa na manii au maji maji bila hata kusisimuliwa na harakati za kufanya mapenzi. Hii hutokea zaidi wakati wanapokuwa wamelala, na hizo huitwa ndoto chepe yaani "wet-dreams" kwa kiingereza. Hii ikiwa njia mojawapo ya kuondoa mihemko mwilini.)

***************************************************************

Kwa habari zaidi tembelea:

http://www.chezasalama.com/A-Sexuality/puberty/questions_and_answers.php

http://sw.wikipedia.org/wiki/Ubalehe