Showing posts with label Mama Maria Nyerere. Show all posts
Showing posts with label Mama Maria Nyerere. Show all posts

Saturday, May 17, 2014

Mwalimu Nyerere, Mama Maria na Mzee Mwinyi

Nimeona kwenye mtandao hii picha ya Rais Mwinyi (Mzee Ruksa), Mwalimu Julius Kambarage na mke wake Maria.  Sijui ilipigwa mwaka gani lakini huenda ni wakati Mzee Mwinyio alivyokuwa Rais.


Wednesday, January 07, 2009

Mkutano wa UWT Dodoma

Anna Abadallah akihutubia wajumbe
Baadhi ya wajumbe kwenye mkutano wakiwemo Mama Maria Nyerere



JK akihutubia wakati akifungua mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake katika ukumbi wa Kilimani huko Dodoma leo. Picha nyingine ni Mwenyekiti anayeng'atuka Anna Abdallah akihutubia na picha nyingine wajumbe na waalikwa wakiwa katika mkutano.Mpaka sasa mambo bila bila hasa tukitambua wanachuana ni Mh. Janeth Kahama na Mh. Sofia Simba ambapo mmoja wao atamrithi Mh. Anna Abdallah katika kiti hicho. Matokeo yanatarajiwa baadaye usiku huu!

Monday, February 25, 2008

Mama Pinda na Mama Maria Nyerere

Kutoka Food for Thought Blog

Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda(kushoto) akiwa na Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam hivi karibuni Mke wa waziri mkuu Tunu Pinda pamoja na waziri Mkuu Mizengo Pinda walikwenda kumjulia hali Mama Maria Nyerere.