Showing posts with label Mama Tunu Pinda. Show all posts
Showing posts with label Mama Tunu Pinda. Show all posts

Tuesday, April 15, 2008

Mama Pinda

Picha kwa hisani ya Bernard Rwebangira

Naona Mama Tunu Pinda anaogoza mduara. Nyuma yake ni: Mama Anna Makinda, Mama ? , Anna Abdallah na Mama Zakia Meghji.


Monday, February 25, 2008

Mama Pinda na Mama Maria Nyerere

Kutoka Food for Thought Blog

Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda(kushoto) akiwa na Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam hivi karibuni Mke wa waziri mkuu Tunu Pinda pamoja na waziri Mkuu Mizengo Pinda walikwenda kumjulia hali Mama Maria Nyerere.