Showing posts with label Michelle Obama. Show all posts
Showing posts with label Michelle Obama. Show all posts

Monday, July 01, 2013

Rais Obama na Mke Wake Nchini Tanzania

Rais Obama na mke wake Michelle wakiburudishwa na ngoma za kienyeji Ikulu. President Obama and his wife Michelle, being entertained with Tanzanian traditional dances. Video kwa hisani ya Ikulu

Friday, September 25, 2009

Wake wa Viongozi wa nchi za G-20

Naona leo Mke wa Rais Obama, Michelle Obama amepozi na wake wa mawaziri wa fedha na magavana wa mabenki ya nchi za G-20. Kikundi cha G-20 kilundwa mwana 1999 kuongelea maswala ya uchumi wa dunia.

Nchi za G-20 ni:

Argentina
Australia
Brazil
Canada
China
France
Germany
India
Indonesia
Italy
Japan
Mexico
Russia
Saudi Arabia
South Africa
South Korea
Turkey
United Kingdom
United States of America

Thursday, August 20, 2009

Michelle Obama Avaa Kaptura na Kuzua Zozo!


Jamani, hizi siku za karibuni kumekuwa na joto kweli hapa Marekani. Sehemu zingine joto ni kupita 100Degrees Farenheit! Rais na familia yake wako likizo. Kesho nadhani watafika hapa Massachusetts. Watakuwa Martha's Vineyard. Mke wa Rais amezua zozo, eti hatakiwi kuvaa kaptura. Mimi nasema kwa nini asivae? Si wako likizo, siyo kwenye ziara rasmi. Hapa watu wanatembea karibu uchi, na kuvaa vinyuzi wakisema eti nguo! Hebu wamwache mama wa watu afaidi likizo yake! Au wanamwonea wivu miguu yake mizuri?
Mnaweza kusoma habari zaidi:

Wednesday, June 10, 2009

Walipa Kodi Marekani Hebu Chekini!

Walio Marekani wataelewa. Unakuta mtu eti maskini anaishi kwenye projects, hafanyi kazi anapokea welfare check lakini ana gari, anavaa nguo na viatu vya bei mbaya na kuwa na simu latest! Huko wewe unasota minimum wage na huna kitu cha maana cha kuonyesha!

*****************************************
This is classic. Our TAX Dollars at work!

Recently Michelle Obama went to serve food to the homeless at a government funded soup kitchen .

Cost of a bowl of soup at homeless shelter $0.00 dollars

Having Michelle Obama serve your soup $0.00 dollars

A homeless person who is receiving government funded meals while taking a picture of the first lady using his $300 Black Berry cell phone $$$$ Priceless
********************************************************************


Monday, May 04, 2009

Wanawake Wa White House

Hebu cheki wanwake wa White House : Mke wa Rais Obama, Michelle, Mama yake mzazi, pamoja na watoto wa rais, Sasha na Malia. MaKKK lazima wanalia!

Monday, January 26, 2009

Wednesday, November 05, 2008

Viongozi Wapya wa Marekani

Picha na Damon Winter/The New York Times
Senator Barack Obama na mke wake, Michelle, and Senator Joseph R. Biden Jr. na mke wake, Jill, mjini Chicago jana mara baada ya ushindi wa Obama kutangazwa!