Showing posts with label Operation. Show all posts
Showing posts with label Operation. Show all posts

Wednesday, February 18, 2015

Kijana Mwenye Mboo Kubwa Afanyiwa Opresheni ya Kuipunguza

 Wadau, huko Florida kuna kijana, Mmarekani mweusi mwenye miaka 17 amefanyiwa opresheni ya kupunguza saizi ya mboo yake. Huo uboo ulikuwa na urefu wa inchi 7 na mzunguko wa inchi 10 ikiwa imelala!  Ikiamka ilikuwa inavuka futi na unene kama gogo! DUH! Madakatari walisema kuwa asingeweza kujamiana na mwanamke na mboo kubwa hivyo! Loh, wazungu wangepata habari zake mbona wangemlipa waijaribu! 

Madakatari wanasema kuwa kijana huyo aiomba ipunguzwe baada ya yeye kushindwa kuwmingia mpenzi wake. Pia, alikuwa anapata taabu akicheza michezo. Pia ilikuwa huo uboo kubwa ukisimama basi inasimama kwa masaa kadhaa! 

**************************************************

X-ray za Mboo Iliyopungwa

 Kutoka New York Daily News:

Florida teen undergoes world’s first penis reduction surgery: Study


The unidentified 17-year-old’s 'massive' phallus was 'too large for intercourse,' according to a report published in the Journal of Sexual Medicine. It was almost 7 inches long and had a circumference of 10 inches when flaccid.

 A Florida teenager has successfully undergone the world’s first penis reduction surgery, doctors at the University of South Florida claim.

The unidentified 17-year-old’s “massive” phallus was “too large for intercourse,” according to a report published in the Journal of Sexual Medicine.
Shaped like an American football, it was almost 7 inches long and had a circumference of 10 inches when flaccid.
“It sounds like a man’s dream — a tremendously inflated phallus — but unfortunately, although it was a generous length, its girth was just massive, especially around the middle,” Dr. Rafael Carrion, the urologist who treated the teen, told the Daily Mail.
The well-endowed patient, who “reported inability to penetrate his partner,” had asked for the operation after the shape of his penis also restricted his ability to play competitive sports, the study says.
“There comes a time in every urologist’s career that a patient makes a request so rare and impossible to comprehend that all training breaks down and leaves the physician speechless,” Carrion reportedly said.
Since he was 10, the teen, who has a history of sickle cell disease, had three episodes of priapism — a medical condition in which the penis stays erect for hours — that “progressively” led to his penis deformity, surgeons said in the report.
Doctors were able to make it symmetrical.
USF did not return calls for comment, and Carrion could not immediately be reached.
The average length and circumference of a penis is about 13 and 9 centimeters, respectively, according to the study.
 

 

Sunday, November 09, 2014

Rais Kikwete Afanyiwa Upasuaji Marekani!

Tumwombee uzima Rais wetu Mpendwa, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Amen, Amin.

****************************
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akizungumza na  Dkt.Edward Shaeffer wa hospitali ya
Johns Hopkins na Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi(kulia) baada
ya kuwasili katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore,
Maryland,  Marekani kwa upasuaji Jumamosi asubuhi. Upasuaji huo
uliochukua muda wa saa moja na nusu ulifanyika salama.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na daktari Bingwa
Mpasuaji Edward Shaeffer muda mfupi kabla ya kuingia kwenye chumba cha
upasuaji uliofanyika katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo
Baltimore Maryland Marekani Jumamosi asubuhi.Upasuaji huo uliochukua
muda wa saa moja na nusu ulifanyika salama.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete alfajiri ya jana, Jumamosi, Novemba 8, 2014, alifanyiwa
upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins
iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.

Rais Kikwete amefanyiwa upasuaji huo baada ya madaktari waliomfanyia
uchunguzi wa afya yake kujiridhisha kuwa Rais alikuwa anahitaji
matibabu ya aina hiyo.

Upasuaji huo uliofanyika alfajiri na kuchukua kiasi cha saa moja
unusu, umefanyika salama na kwa mafanikio makubwa. Hali ya Mheshimiwa
Rais Kikwete inaendelea vizuri, bado yuko wodini akiendelea kuwa chini
ya uangalizi wa madaktari na kupatiwa tiba.

Wananchi wataendelea kupewa taarifa sahihi kuhusu hali ya Rais Kikwete
kwa kadri zitakavyokuwa zinapatikana.

Imetolewa na

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU
DAR ES SALAAM,
NOVEMBA 9, 2014