Showing posts with label Suicide. Show all posts
Showing posts with label Suicide. Show all posts

Saturday, March 17, 2018

Mhudumu wa Ndege ya Emirates Afariki Baada ya Kuanguka kuoka kwenye ndege Entebbe, Uganda.

Inasemekana mhudumu wa ndege ya Emirates alifungua mlango wa dharura ya ndege na kujirusha katika Uwanja wa Ndege ya Entebbe, Uganda siku ya jumatano wiki hii,  Mhudumu alifariki siku hiyo hiyo.  Aliumia kichwa na magoti. Ndege ilikuwa imetua, wanasubiri abiria wapande.

Image result for emirates flight attendant uganda
Flight Attendant Elena Kutoka Bulgaria baada ya kuanguka Uwanja wa Ndege ya Entebbe, Uganda

Kutoka AOL.Com

An Emirates Airline flight attendant died on Wednesday after falling out of a plane while it was parked at the gate in Entebbe, Uganda before a flight.

The female flight attendant was rushed to a nearby hospital alive with injuries to her face and knees but died soon after, the BBC reported.

The details surrounding the fall are unclear at this point and the Ugandan Civil Aviation Authority (CAA) has launched an investigation into the incident.

However, the CAA did say in a statement that it appeared the Emirates flight attendant opened the emergency door before falling out.

"Our thoughts and prayers are with her family, and we’re providing them with all possible support and care," an Emirates spokeswoman said in a statement to Business Insider. "We will extend our full co-operation to the authorities in their investigation."

The incident occurred on March 14 at Entebbe International Airport as the Emirates crew prepared Flight EK730, a Boeing 777-300ER, for boarding. The Emirates flight to Dubai, United Arab Emirates was delayed for roughly an hour as a result of the fall.


Here is the Emirates statement in its entirety:

"We can confirm that a member of our cabin crew fell from an open door while preparing the aircraft for boarding on flight EK730 from Entebbe on 14 March 2018. The injured crew member was brought to the hospital but unfortunately succumbed to her injuries. Our thoughts and prayers are with her family, and we’re providing them with all possible support and care. We will extend our full co-operation to the authorities in their investigation."
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:


Image result for emirates airline uganda
Emirates Publicity Photos

Saturday, January 13, 2018

Tanzia - Yona Fares Maro

The Late Yona Fares Maro  1988-2018

Rest in Peace

Inasemekana Kaka Yona Alijiua kwa Kunywa sumu baada ya ugomvi na mke wake.  Lakini pia huenda alikua na frustrations za tangu afungwe jela mwaka jana. Alikaa huko siku 60.
\



Huu ndo ujumbe wa Yona aliouacha nyuma ya kifo chake.....

Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi. Tukio la jana usiku na leo asubuhi limenisononesha na kunitia simanzi kubwa. Nimekata tamaa ya kila kitu na kila jambo nangoja mapenzi ya Mungu tu. Nalazimika kutumia dawa za usingizi lakini wapi. Sasa nipumzike nimwache mke wangu Eng Mloelya na mchepuko wake Eng Lossy wa Idara ya Maji Mbeya waendee!