Hiyo ni habari njema Dada Chemi. Natumaini mikakati ya kupunguza udurufu pia inaandaliwa ikiwa ni pamoja na uhamasishaji ili wasanii wetu wakitanzania msife moyo. Naomba uliandikie andikie hili kwenye blogu yako walau mara moja moja ukitoa mifano LIVE ya copyright infringement huko US. Ni somo muhimu nyumbani. Nilifurahia coverage yako ya kijana aliyetoa siri ya kuigiza sinema kabla haijatoka. Hiyo story ilitakiwa isomwe na watu wengi zaidi. Keep it up.

ReplyDeleteKwa kweli hapa USA hakuna mchezo na copyright infringement. Yaani hata ukitaka kutumia 'materials' za msanii aliyekufa inabidi ulipe warithi wake!
ReplyDeleteSikufurahi kuona yule kijana anashitakiwa na mtu kama Spielberg lakini alisiani mkataba na alivunja hivyo walivyofanya ni sawa.