Thursday, January 17, 2008

Msikie mahojiano na Kanumba 1-27-08



Kutoka http://abdallahmrisho.blogspot.com/



Kanumba akihojiwa na mtangazaji wa kituo cha redio cha Voice of America (VOA) na kipindi chake kitarushwa hewani Jumapili ya tarehe 27 mwezi huu jioni saa moja na nusu, kwa wabongo wanaweza kunasa kupindi hicho Radio Tumaini au Radio Free Africa........kazi kwenu!

17 comments:

  1. Da Chemi mimi pamoja na wengi wanaotembelea globu yako tunakuamini sana kwa kutuletea habari nyingi zikiwa moto kabisa. Hongera kwa kazi yako tunakutakia kila la kheri na afya njema, mafanikio...uendelee.

    Lakini hili suala la Bwana Balali, aliyekuwa gavana wa benki yetu, mbona umelifumbia macho. Na huyu jamaa anasemekana yuko "upenuni" kwako hapo. Je mnaka-undugu nini. Lakini mwandishi anapaswa kuandika kile alichokiona, kukisikia au kujifunza "without fear or favour(favor)" Tafadhali tujulishe kama ulishaenda kumsabahi huyu mheshimiwa hapo hospitalini kwake. Je anamaoni yoyote? Asante nasubiri jibu lako.
    Mchumia Juani hulia kivuli. Na mchumia kivulini hulia ......"

    Ni mimi.
    Far East.

    ReplyDelete
  2. Waosha vinywaaaaaaaaa msiopenda maendeleo ya wenzenu wabongo semeni sasa mnajua mtapata kingine cha kusema semeni sasa

    ReplyDelete
  3. Kufanya mahojiano na VOA si kitu tunataka kusikia mahojiano aliyofanya na KNX 1070 Radio huko Los Angeles. Au chombo kingine cha habari cha huko Los Angeles. MBongo yoyote anaweza kufanya mahojiano na VOA watakuuliza kuhusu maisha yako magumu ya kufanya kazi ya kuosha wazee Marekani.

    ReplyDelete
  4. Far East,

    Taarifa za BOT nilipata lakini sikubandika kwa vile niliona wanablogu na forums nyingi walibandika. Ingekuwa redundant.

    ReplyDelete
  5. "MBongo yoyote anaweza kufanya mahojiano na VOA watakuuliza kuhusu maisha yako magumu ya kufanya kazi ya kuosha wazee Marekani."

    Damn right LOL ^

    Until Kanumba is in the papers,he's literally not even a Blip on the 'Actor' radar.I got that Tanzanian blood in me,so I want to see him succeed like every other Tanzanian does,but damn let's be honest with ourselves,this cat ain't even local news material.

    ReplyDelete
  6. Da Chemi,

    I appreciate your prompt response.

    ...Far East.

    ReplyDelete
  7. Da Chemi,hivi enzi zenu kule Daily News,mkienda kufanya coverage ya habari na kisha mkakuta tayari waandishi wa magazeti mengine wameshafika,mliishai kutoiandika habari hiyo?Nauliza hivyo kutokana na jibu lako kuhusu suala la Ballali ambapo umedai hujaligusia kwa vile tayari limeshaandikwa na bloggers wengine.Una uhakika gani kama sie wasomaji wako tumezitembelea blog hizo "nyingine"?
    Kumbuka wewe ni kati ya mabloga wacahce wa Kitanzania mliopo Marekani,na baadhi yetu tuekuwa tukitembelea hapa tukitegemea kupata "za jikoni" thru you...kumbe mwenzetu umeshaliona suala hilo redundant kwa vile tu blogs nyingine zishaandika!!Mbona bloggers wengi wa Kenya wanaendelea ku-cover vurugu zinazoendela huko kwao bila kujali kuwa wenzao wameshaandika?
    Sikulaumu kwani uamuzi wa kuweka habari kwenye media (including blog) ni wa mmiliki binafsi ila naomba kupingana na sababu yako ya "redudancy".

    ReplyDelete
  8. Aisee mi sasa nina-question credibility ya watu wengi hapa anyways
    cheki hii introduction ya kanumba(The so called Denzel by tz's waliolala)from Hi5 profile. wenye hi5 accounts you can search kanumba country Tanzania and get right to it.
    " About Me
    am steve kanumba..an actor from East Africa(a movie star)born in Shinyanga region Tanzania on 8th January 1984. I Use to act local movies here in Tanzania using swahili language, but also I act english movies with Nollywood stars, so am an intenational actor. I have already received different local awards which encarage me in my acting but also I thank God for receiving an intenational awards such as BEST ACTOR IN TZ from HOLLYWOOD JOHN WAYNE INTERNATIONAL AWARDS and BEST TZ ARCHIEVEMENT ACTOR from UNIVERSAL HOLLYWOOD. Apart from acting but also I"m a musician, one of my song I like is Democracy. So I usually plan everything because I know, I'm not here by accident but God's plan."

    ReplyDelete
  9. Kanumba unatafuta lawsuit kutoka Hollywood na utakuwa blacklisted. yaani hutacheza katika sinema zao shauri ya kusema uongo! Hao watu hawana mchezo na kuchafuliwa majina yao.

    ReplyDelete
  10. Sioni kama kuna mtu anayeweza kubisha kuwa Kanumba ameigiza katika sinema/video. Swali kuu sasa ni je, hizo tuzo amepata kweli? Inaelekea ametudanganya na anasthili kuomba msamaha kwa watanzania. Ego imemponza!

    ReplyDelete
  11. hivi nyie watu hamna mada ingine ya kuzungumza zaidi ya kanumba kila siku?inaelekea jamaa yuko juu sana na roho zinawauma sana..acheni hizo mwacheni kaka wa watu.

    ReplyDelete
  12. mtu ukiwa maarufu tabu kweli huyo kanumba mwenyewe kajipumzikia nyie kutwa kuchokonoa ktk computer zenu kumtolea comment hamna kazi?sidhani hata kama kanumba anasoma hizo comment sasa hamuoni kama mnapoteza mda?mwacheni kaka wa watu.

    ReplyDelete
  13. NYIE HATA MSEME VIPI SISI TUNAMPENDA KANUMBA NA TUTAENDELEA KUMPENDA MLIE TU WENYE ROHO MBAYA.

    ReplyDelete
  14. HAYA SEMENI SASA NA HAPO VOA KANUMBA KAFOJI/WABOMGO ACHENI ROHO MBAYA NDIO MAANA NCHI YETU HAIENDELEI KUTWA KUFUATILIA MAMBO YA WATU YA KWENU YANAWASHINDA

    ReplyDelete
  15. i like your actin kanumba am your fan from lagos-nigeria.

    ReplyDelete
  16. "HAYA SEMENI SASA NA HAPO VOA KANUMBA KAFOJI/WABOMGO ACHENI ROHO MBAYA NDIO MAANA NCHI YETU HAIENDELEI KUTWA KUFUATILIA MAMBO YA WATU YA KWENU YANAWASHINDA"

    TYPING IN ALL CAPS WILL HELP GET YOUR POINT ACROSS BETTER,YEAH?

    Silly Duckling,you were ignorant enough to believe he ACTUALLY won an Oscar and now the sting of reality is piercing your support for the Actor.Swim on Ducky,swim on...

    ReplyDelete
  17. Kabla ya kumcriticize Kanumba inapaswa ujua hali ya wacheza film Tanzania.

    1. Wengi wanaganga njaa na kutafuta umaarufu wa bure.

    2. Wanalipwa pesa mbuzi sana. Si ajabu kukuta mtu anacheza scene 9 au kumi analipwa Tshs. 30,000/ kwa scene zote. Pia wako wengi tu wanaocheza bure ili waonekani tu kwenye TV.

    3. Juzi nimepata dondoo moja ya ajabu. Tanzania House of Talent waliitisha wasanii kuja kushoot tamthilia eti waigize tamthilia yenye urefu wa episode ngapi sijui kwa dau la Tshs. 5,000/- (elfu tano tu) kwa kila msanii.

    Kwa hiyo mnapomjaji Kanumba mjue kuwa ametoka katika background hiyo.

    Hii safari aliyodhaminiwa kanumba kwenda kutalii Marekani imeacha gumzo si kitoto katika jamii ya waigizaji wengine aliowaacha hapa Bongo. Yaani kwa ufupi kwa mazingira yao Kanumba ameukata na anakula kuku.

    Hizo picha za tuzo feki alizopiga akirui katika circle yake ya wasanii atatamba si mchezo.

    Na tatizo ni kwamba wengi wataamini kuwa amepata tuzo huko Marekani.

    Na tatizo zaidi wale watakaoamini hawatakuwa tayari kusikiza criticism toka kwa wajuaji wa mambo kama kina sisi kwa kuwa tunaonekana kama tunabeza juhudi za wasanii wa filamu Bongo.

    Naomba kuwakilisha.

    ReplyDelete