Wednesday, September 30, 2009

Dodoma 1950's



Hii picha ilipigwa 1953, wakati tuko chini ya Ukoloni wa Uiingereza. (British Empire) Mnaona kituo cha reli ya kati na nyuma, Dodoma Hotel.

6 comments:

  1. Enzi hizo Dodoma Hotel ilikuwa kwa ajili ya wazungu tu! Mweusi ni mhudumu!

    ReplyDelete
  2. duh! kumbe zamani dodoma kulikuwa na snow?

    ReplyDelete
  3. Tanzania kwa kweli haiendelei. Majengo yale yale, ufisadi umezidi badala ya maendeleo watu wanaiba pesa. Thanx Chemi, umeniibulia chuki nilizonazo na viongozi wetu.

    Mdau US

    ReplyDelete
  4. Out of topic

    Dada CHEMPONDA nakufananisha na huyu dada anayecheza katika series ya "Grey's Anatomy" ni ww au?
    Jina(character) la dada silijui.Anacheza kama nurse.

    ReplyDelete
  5. Mdau wa 6:34PM, asante kwa kuulizia. Sijawahi kuwa kwenye Grey's Anatomy, nilikuwa kwenye episode moja ya Brotherhood, na pia Afrtershock Beyond the Civil, ambayo inaonyeshwa kwenye History Channel mara kwa mara. Kama networks watachukua show (Fall/Winter Line up), mtaniona kwenye See, Kate, Run (pilot episode) nikiigiza kama Mwalimu.

    ReplyDelete
  6. Mdau wa 12:24 hebu achaha ushamba! Hiyo picha ni Black & White!

    ReplyDelete