Huyu dada hana kosa mwenye kosa ni mwenyeji wake, ni bahati mbaya sana jamii zetu wengi tuna tatizo la kudhani kile ukijuacho na mwingine anakijua. ni vema tukajiuliza ,Kwanini waajiri wengi wanapo ajiri kuna " Orientation"? HII PICHA kwa wanaopenda kujifunza kuna mengi ya kujifunza humu zaidi ya kuchukulia ni "Ushamba tu"
ANONYMOUS of Dec 24th, 1:42PM: Labda watu walijaribu kumfundisha namna ya kutumiya (sawasawa)hilo jiko la umeme (au gesi), na akakataa kwa kusema kwamba ugali utaguwa mzuri zaidi, akipika yeye mwenyewe anavyojua~ ie using the metal contraption for her legs.
Saa zingine watu wengine hawataki mambo mapya ya kisasa.
Huyo mama ni resourcessful kweli!
ReplyDeleteGood grief! A real country bumpkin indeed. I bet she puts the electric kettle on the cooker hob.
ReplyDeleteAlpiandaje hapo?
ReplyDeleteHuyu dada hana kosa mwenye kosa ni mwenyeji wake, ni bahati mbaya sana jamii zetu wengi tuna tatizo la kudhani kile ukijuacho na mwingine anakijua.
ReplyDeleteni vema tukajiuliza ,Kwanini waajiri wengi wanapo ajiri kuna " Orientation"?
HII PICHA kwa wanaopenda kujifunza kuna mengi ya kujifunza humu zaidi ya kuchukulia ni "Ushamba tu"
Wee mdau wauliza alipandaje? mbona rahisi tu, pengine kachukua kiti kafanya ndio ngazi kapanda anasonga Ugali wake, kusonga kwa mkono mmja, kushikilia sifuria kunamumiza, na kunachosha, hiyo kabuni njia rahisi,miguu inashikiria banio nae anaendelea na mikono inasonga Ugali poa
ReplyDeleteANONYMOUS of Dec 24th, 1:42PM: Labda watu walijaribu kumfundisha namna ya kutumiya (sawasawa)hilo jiko la umeme (au gesi), na akakataa kwa kusema kwamba ugali utaguwa mzuri zaidi, akipika yeye mwenyewe anavyojua~ ie using the metal contraption for her legs.
ReplyDeleteSaa zingine watu wengine hawataki mambo mapya ya kisasa.