Showing posts with label Forensic Aging. Show all posts
Showing posts with label Forensic Aging. Show all posts

Monday, June 29, 2009

Michael Jackson Angelikuwa Bila MaSurgery

Wadau, marehemu Michael Jackson, hakupenda weusi wake. Alitaniwa sana na ndugu zake kwa vile alikuwa na pua kubwa. Baba yake alikuwa anamwita, "Big Nose" (pua kubwa). Matokeo yake alijigeuza mzungu na kachonga pua yake.

Kuna Forensic Scientist ambaye amachora picha ya jinsi Michael angelikuwa kama asingejiharibu kwa maplastic surgery.

*************************************************************************
Michael mwaka juzi

Alivyokuwa na miaka 13 na pua ya kawaida ya kiafrika
Akiwa late 30's bila masurgery


Mzee Michael Jackson bila masurgery