
HAPPY INDEPENDENCE DAY!
238 Years of Independence from the British!
1776 - 2014
Wadau, leo Marekani inasherekea miaka 238 tangu Uhuru kutoka kwa Waingereza!
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.

Leo ni sikukuu ua Uhuru Marekani. July 4th, Independence Day. Walipata uhuru wao, siku ya July 4th, 1776, kutoka kwa Mwingereza. Hivyo, nchi ya Marekani ina miaka 232 tangu ipate uhuru kwa kumwaga damu. Kabla ya hapo Marekani ilikuwa koloni kwa miaka karibu mia na hamsini. Waingereza walikuwa wakatili na waliua watu waliotaka uhuru.