Showing posts with label Likizo. Show all posts
Showing posts with label Likizo. Show all posts
Wednesday, September 03, 2014
Rais Obama Anayobaguliwa na Republicans!
Ni kweli kabisa! Rais George W. Bush alichukua zaidi ya siku 367 likizo! Hakuna Republican aliyelalamika! Kwa vile Rais Obama ni mweusi wanadhani hastahili kupata likizo! Wadau, Marekeni unatakiwa ufanye kazi mara nne ya mzungu ili unonekane kuwa unafanya kazi! Mimi mwenyewe na pambana na bosi kupata likizo nayo stahili, lakini mzungu akiomba anapata bila taabu!
Tuesday, March 18, 2014
Watalii Kutoka Marekani Jamaica
Hao akina dada warembo kutoka Atlanta, Georgia Marekani walienda Jamaica likizo. Waliamua kupiga picha wakiwa beach Montego Bay. Walitamba na bikini zao!
Labels:
Bikini,
FAT Chance,
Likizo,
Mashoga,
Matako Makubwa,
Unene,
Vacation
Subscribe to:
Comments (Atom)




