Hebu cheki huyo dada alivyovaa bikini kuonyesha watu jinsi wanene ni warembo! Nampongeza kwa ushujaa wake!
************************************
BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Showing posts with label Bikini. Show all posts
Showing posts with label Bikini. Show all posts
Sunday, April 06, 2014
Mnene Aringia Urembo Wake!
Labels:
Bikini,
Fat,
Heavyset,
mapaja,
Matako Makubwa,
Matiti,
Mnene,
Mrembo,
Phat Girlz
Tuesday, March 18, 2014
Watalii Kutoka Marekani Jamaica
Hao akina dada warembo kutoka Atlanta, Georgia Marekani walienda Jamaica likizo. Waliamua kupiga picha wakiwa beach Montego Bay. Walitamba na bikini zao!
Labels:
Bikini,
FAT Chance,
Likizo,
Mashoga,
Matako Makubwa,
Unene,
Vacation
Wednesday, July 31, 2013
Mimi Katika Sinema American Hustle
Wadau, mnaweza kuniona nyuma ya mcheza sinema maarufu, Amy Adams katika trela ya sinema mpya American Hustle. Inatoka mwezi Desemba. Niliigiza mwezi wa pili mwaka huu. Waliomba wacheza sinema wasio na miili ya stars kujitokeza kwa ajili ya hii scene ya party. Nilituma picha nimevaa nguo ya kuogelea na wakanichagua. Awali ilikuwa nivae bikini lakini kutokana na urithi wa bibi (matiti makubwa) walishindwa kunipatia nguo iliyofaa. Sehemu ya chini ilikaa viuri lakini juu ziilikuwa ndogo hadi matiti yanamwagika! Basi, wakanipatia hiyo one piece nyeusi na ndo nilivaa. Ajabu siku tulivopiga sinema nilidhani kuwa sitaonekana hata kidogo. Pia ilikuwa winter na kulikuwa na theluji na barufu nje! Leo asubuhi, nilishangaa watu walipoanza kunipigia simu na kunitumia text kuwa wameniona. Kumbe hiyo sehemu imeongelewa na kuonyeshwa sana kwa vile Amy Adams kavaa nguo ya kuogelea ilitengenezwa kwa mkono kwa mtindo wa macrame. Katika sinema hiyo naonekana katika scene hii moja tu kwenye bwawa ya kuogelea kwenye nyumba ya tajiri fulani hapa Boston. Waigizaji wote tulizuiliwa kusema kitu, yaani tumefanya nini na tumeona nini. Tulisaini agreement za usiri. Sasa tunaweza kusema.
Labels:
American Hustle,
Amy Adams,
Bikini,
macrame,
Matiti Makubwa,
Nguo ya kuogelea,
Swimsuit,
swimwear
Subscribe to:
Comments (Atom)








