Showing posts with label Matiti. Show all posts
Showing posts with label Matiti. Show all posts

Sunday, April 06, 2014

Mnene Aringia Urembo Wake!

Hebu cheki huyo dada alivyovaa bikini kuonyesha watu jinsi wanene ni warembo! Nampongeza kwa ushujaa wake!

************************************



BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Wednesday, March 16, 2011

Nyoka Auma Titi la Supamodo...Afa Dunia!

Wadau hebu cheki jinsi huyo supamodo wa Israel, Orit Fox, anayojaribu kulamba na kubusu nyoka! Kwanza anajifanya kama anataka kufanya mapenzi na huyo nyoka aina ya boa (kama chatu). Nyoka anachukia anamwuma kwenye titi. Kumbe titi ni zile puto zilizojaa silicone. Siku hizi ni fesheni kwa wazungu na hata weusi wenye matiti madogo kwenda kwa daktari ili wawekewe hizo puto matiti yao yawe makubwa zaidi. Nasikia zinauma. Wanasema hiyo silicone ilimwua nyoka baadaye! BORA! Bi Fox ni mzima ila inabidi abadilishwe puto kwenye titi.



Kwa habari zaidi someni:

http://www.hindustantimes.com/Snake-bites-model-s-breasts-dies/Article1-673607.aspx#

Friday, August 07, 2009

Sherri Shepherd Akataa Kupunguza Matiti

Leo kuna habari kuwa Sherri Shepherd wa The View, amepunguza uzito lakini alikataa kupunguza matiti yake makubwa. Nampongeza Da Sherri kwa msimamo wake. Hivi kwa nini uzungu haupendi matiti makubwa na matako makubwa! Wanataka wanataka wembamba ambao wakitembea unasikia mifupa unagongana. Wanawake wenye asili ya Afrika wamebarikiwa na matakao makubwa na vifua, lakini wamefundishwa kuwa ni kinyaa. Kama mnakumbuka Queen Latifah alipuguza matako yake na matiti yake akidhani itamsadia kupata roles zaidi katika sinema za wazungu. Wala sijaona huo ongezeko la offa za sinema kwake. Nasema bora angebaki kama alivyokuwa maaa alipendwa zaidi.

Na mimi nsaema hivi, "Nipunguze matiti yangu...nipunguze urithi kutoka kwa bibi zangu! Mnawazimu nini! "

Matiti makubwa oyeeeeeeee!!!!
Mnaweza kusoma habari zaidi za Dada Sherri Shepherd HAPA:

Tuesday, March 24, 2009

Atafutwa kwa Kuiba Matiti!


Yaani hii inachekesha. Huyo mama, Yvonne Pampellonne (30) pichani alijifanya mtu mwingine na alitumia credit card ya huyo mtu kujipatia matiti! Madaktari walimshutukia wakati hakuonekana kwenye appointment zake mara baada ya kuwekewa (Follow up). Kituko kimetokea Huntington Beach, California.

Anatafutwa na polisi na matiti yake feki! Sijui wakimkamata watazitoa!
Ukimwona piga simu polisi (714) 536-5959.

**********************************************************************
Cops: Woman Sought for Stealing Breast Implants

March 24, 2009

HUNTINGTON BEACH -- Police are searching for a 30-year-old woman accused of stealing someone's identity and a pair of new breast implants.

Yvonne Pampellonne is accused of using a fake id to pay for liposuction and new breast implants valued at more than $12,000.

According to Huntington Beach police, Pampellonne opened a line of credit in someone else's name in September 2008.

Huntington Beach police detective Larry Pitcher said Pampellone lied to her doctor and the staff at the Pacific Center for Plastic Surgery about her name and other personal identification.

She used the credit to have the procedures done and never showed up for any follow-up appointments, Pitcher said.

Employees at the plastic surgery center identified Pampellonne based on a photo line-up.

A $20,000 arrest warrant has been issued for Pampellonne's arrest on charges of commercial burglary, grand theft and identity theft.

Pampellonee has had several traffic related convictions, including driving on a suspended or revoked license and driving without proof of insurance.

Anyone with information about Pampellonne's whereabouts was asked to call Huntington Beach Police at (714) 536-5959.

Kwa habari zaidi tembelea:

http://www.ktla.com/landing_topstories/?Cops-Woman-Sought-for-Stealing-Breast-Im=1&blockID=247365&feedID=1198