Showing posts with label Ubikira. Show all posts
Showing posts with label Ubikira. Show all posts

Saturday, January 18, 2014

Sista Mkatoliki Ajifungua Italy

Wadau, hii kali. Sista mKatoliki amejifungua mtoto wa kiume mwenye afya huko Italia. Huyo Sista, ambaye hakutajwa jina, ana miaka 31 na ana asili ya El Salvador, Amerika ya Kusini. Hakujua kuwa ana mimba.  Alipelekwa hospitali baada ya kushikwa na maumivu makali tumboni.  Amemwita mwanae Francesco.  Je, atabaki kuwa Sista au watamvua USista. Tusimlaumu labda hakujua kuwa ukitembea na mwanaume utapata mimba.

Kama mnavyojua ni mwiko kwa Sista kufanya ngono. Wanatakiwa kuwa Bikira. Au wakishakuwa Sista ni mwiko kufanya ngono na mwanaume tena.  Je, atasema hiyo mimba kapewa na malaika? Lakini mjue hapa Boston miaka ya 1950's waliboma Convent (Nyumba ya Masista). Kwenye Basement walikuta mifupa mingi ya watoto wa wachanga waliozikwa huko! hiyo Convent ilijengwa miaka ya 1800's na kubomolewa 1950's!  Na ninakumbuka nilivyokuwa nafanya kazi Daily News, mwandishi wa habari mwenzangu alikuwa anatamba kuwa anatembea na sista. Eti wanaenda gesti kufanya mambo, wakimaliza yule sista anavaa magwanda yake na kwenda zake. DUH! 

**************************************************

MaSista  wakitembea katika viwanja vya Vatican


Kutoka Huffington Post

A 31-year-old nun has given birth to a baby boy in Rieti, Italy, after experiencing abdominal pains she thought were stomach cramps.
After she was taken to a hospital, she gave birth to a baby and named him Francis after the current pope. The nun, originally from El Salvador, claims she had no idea she was pregnant.
The sister belongs to a convent which is located near the city of Rieti, which has a population of 47,700.
The nun belongs to the "Little Disciples of Jesus'' convent in Campomoro near Rieti, which manages an old people's home.
As news of the nun's pregnancy has spread, the mayor of Rieti, Simone Petrangi, asked local residents and media to give the woman privacy.
Clothes and donations have been collected and sent to the hospital where she gave birth.
"I did not know I was pregnant. I only felt a stomach pain," she told the Ansa news agency.
Other nuns at the convent also expressed shock at the mysterious pregnancy of a holy sister at their order, saying they were "very surprised", according to Italian media reports.
Don Fabrizio Borrelio, a local pastor, says he believes that the nun is telling the truth about being unaware of her pregnancy. He said the nun plans to take care of the baby herself.
The results of a study on reproductive health, published in the British Medical Journal, revealed that one in 200 US women claim to have given birth without ever having had sexual intercourse.
The BMJ reports that of the women who took part in the study, 45 (0.5%) reported at least one virgin pregnancy, "unrelated to the use of assisted reproductive technology".
They claim to have conceived without vaginal intercourse or in-vitro fertilisation (IVF).
The BMJ article notes that virgin births, or parthenogenesis (from the Greek parthenos for virgin and genesis for birth), can occur in non-humans as a consequence of "asexual reproduction, where growth and development of the embryo occurs without fertilisation".
However, the authors of the study, entitled "Like a virgin (mother)", warn that researchers need to take into account the possibility of fallible memory on the part of respondents.

Tuesday, May 24, 2011

Mama Ajaribu Kuuza Ubikira wa Binti Yake!!!

Jamani, huko Utah kunazidi kutokea habari za ajabu zinazohusiana na ngono. Leo kuna habari kuwa mama fulani kajaribu kuuza ubikira wa binti yake mwenye miaka 13 kwa $10,000. Boyfriend wa huyo mama ndiye kamshitaki polisi! Huyo mama inaelekea alitaka hela ya kununua madawa ya kulevya! Kwa sasa mama kafungwa jela, dhamana yake ni dola $250,000! Akae huku huko jela mpaka aoze! Ila nashangaa kwa nini hatujasikia habari za huyo baba aliyetaka kununua huo ubikira kukamatwa.

******************************************************************
Kutoka YAHOO News:

Woman accused of trying to sell girl's Virginity

SALT LAKE CITY – A Salt Lake City woman has been charged with offering her 13-year-old daughter's virginity to a man for $10,000.

The 32-year-old woman was charged Monday in Utah's 3rd District Court with two first-degree felony counts of aggravated sex abuse of a child and two second-degree felony counts of sexual exploitation of a minor.

If convicted, the woman faces a lifetime prison sentence for each first-degree felony and a zero to 15 year sentence for each second-degree felony.

In court papers, prosecutors allege that the woman had discussed letting her daughter perform oral sex and other sex acts with an adult male. The negotiated offer and an arrangement to exchange the teen's virginity for money were detailed in a string of text messages which were seen by the woman's boyfriend, who called police, court papers say.

In a police affidavit also filed with the court, investigators say the woman acknowledged the agreement and said she and the girl had been modeling lingerie for the man in a local store and at their home near the Utah State Capitol. Investigators say the woman said she had also taken pictures of her daughter wearing only a bra and skimpy, thong underwear and sent them to another adult male.

In the same affidavit, the girl told police she initially agreed to the sex-for-money arrangement, but later told her mother that she did not want to go through with it.

The Associated Press is not naming the woman to avoid identifying the daughter.

No court dates have been set in the case and it wasn't immediately clear if the woman had an attorney.

The mother is being held in the Salt Lake County Jail. Bail is set at $250,000. A corrections officer at the jail said the facility does not take telephone messages for inmates.

A check of Utah State Court records shows the woman has a criminal history that includes misdemeanor convictions for illegal drug possession and driving under the influence. A forgery case filed against her in 2007 was dismissed after she successfully completed a court-ordered drug treatment program.

Tuesday, January 13, 2009

Bikira wa Miaka 107 Anataka kuolewa huko China!!

Leo ni siku ya mabikira!

Huko China, Bi Kizee Wang Guiying (107) anasema anataka kuolewa kwa mara ya kwanza katika maisha yake. Anasema pia bado ni bikira.

Bi Wang, anasema kuwa alikuwa mwoga wa kuolewa kwa vile aliona wanawake walioolewa wakipigwa na waume zao. Alisema hakutaka maisha ya hivyo, hivyo alikuwa na shamba na aliamua maisha yake itakuwa ni ya kulima.

Ila sasa anakaribia kuwa na miaka 108 na amekuwa mpweke. Anasema kuwa sasa anataka mwanaume wa kukaa naye. Yuko tayari kumkubali kijana wa miaka 90 au hata 100! Huko China wasamaria wema wanamtafutia mume huko kwenye nyumba za wazee.

Na kuna watu wamesema itakuwa vigumu kwa Bi Wang kupata mume maana hao wazee wenye miaka 90 wanatafuta maspring chicken wenye miaka 70!

Kwa habari zaidi someni:

http://chattahbox.com/curiosity/2009/01/12/107-year-old-woman-seeks-husband/

http://www.telegraph.co.uk/news/worldnews/asia/china/4222884/Woman-107-seeks-husband.html

http://newsblaze.com/story/20090112100351reye.nb/topstory.html

Anauza Ubikira Wake!



Natalie Dylan (22) (pichani) wa California anauza ubikira wake kwa atakayemlipa hela nyingi. Kwa sasa anafanya mnada na bei imefika dola $3.7 milioni! Anasema kuwa atatumia pesa hizo kwa ajiliya kulipia masoma yake Chuo Kikuu.

Hivi kweli huyo ni bikira au? Dada yake ni malaya huko Nevada kwenye bunny ranch. Na siku hizi unaweza kwenda kwa Plastic surgeon akarudisha ubikira. Na kuna tofauti gani na anavyofanya na umalaya?