Usiku wa kuamkia leo, Wachawi duniani waliungana kumloga Rais Donald J, Trump wa Marekani. Nia yao ilikuwa wamfanyie dawa asiweze kumwumiza mtu. Tutaona kama walikuwa na mafaniko.
Asante Rais Trump, ubaguzi unashamiri Marekani. Wahamiaji wanajificha kwa woga, wazungu wabaguzi wanatukana na kupiga weusi na wasio wazungu ovyo. Tumerudi kwenye enzi za Jim Crow. Weusi wakienda kwenye migahawa kadhaa wanaambiwa kwa vile Trump ni Rais, si lazima wahudumie weusi! Khaa! Ubaguzi na utawala aliyoleta Trumo inanafana ya yule mshenzi aliyetawala Ujerumani, Adolf Hitler.
Trump ameaapa kuwa mema aliyofanya Rais Obama atafuta. Mungu atunusuru na Trump!
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:
Showing posts with label Wachawi. Show all posts
Showing posts with label Wachawi. Show all posts
Saturday, February 25, 2017
Wednesday, September 04, 2013
Dawa ya Kuzuia Busha
Hawatokwenda kunywa dawa za kuzuia upofu, ngirimaji-busha na watagoma kupasuliwa busha kwa imani potufu lisha ya mabango haya vijijini na mijini. NGO hadi za nchi ya nje zipo kutuelimisha na kutugharimia lakini matokeo madogo lawama tu.
Labels:
Busha,
Imani,
NGO,
Tanzania,
Uchawi,
Wachawi,
Witchcraft,
Witchdoctors
Tuesday, September 14, 2010
Wazee Wauwawa Kenya eti Wachawi!
Jamani, utalia ukitazama jinsi hao wazee wanawake wanne na mwanaume moja walivyouwawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira. Yaani watu wanashangilia kabisa! Mtu akitoka kwenye moto wanamrudisha kwenye moto! Hata mtu anapiga video! Hao waliotenda wachukuliwe hatua kali na serikali ya Kenya!
Mnaweza kuona video kwa kubofya HAPA:
http://www.wisdia.com/articles/shocking_video_five_suspected_witches_burnt_to_death_in_kenya.aspx
Lakini Tanzania kuna tabia mabya ya kuua wazee hasa huko Shinyanga! Wakiwa na macho mekundu shauri yua kupika kuni, eti mchawi, unaua! Jamani! Hebu waafrika acheni kuwa na imani potofu!
Mnaweza kuona video kwa kubofya HAPA:
http://www.wisdia.com/articles/shocking_video_five_suspected_witches_burnt_to_death_in_kenya.aspx
Lakini Tanzania kuna tabia mabya ya kuua wazee hasa huko Shinyanga! Wakiwa na macho mekundu shauri yua kupika kuni, eti mchawi, unaua! Jamani! Hebu waafrika acheni kuwa na imani potofu!
Subscribe to:
Comments (Atom)




