Showing posts with label Wimbo. Show all posts
Showing posts with label Wimbo. Show all posts

Sunday, July 29, 2018

Listen to the Music of Ron Murphy





Ron Murphy Band

07 The Night We Make Love





PLEASE LISTEN TO THE LUSCIOUS VOICE OF RON MURPHY

Posted a new song: "07 The Night We Make Love" https://www.reverbnation.com/q/7am317

Wadau, huyo  Mzee anakaa Boston. Ni rafiki yangu wa miaka mingi,

Monday, December 26, 2016

Taarab Zilipendwa- Nahodha Kukaa Nyuma

Huu wimbo ulifana sana enzi zile!!! Ni Taarab ya kweli. The Real Deal!


Saturday, December 17, 2016

Zilipendwa - Pata Pata

Huu wimbo wa Pata Pata ilikuwa kiboko enzi zile. Uliimbwa na MSwazi, Miriam Makeba aka Mama Africa.



Saturday, November 12, 2016

Wimbo Mpya wa Kabago Akiwa na Harmad Tanzania Watoka Rasmi

Mkongwe wa Hip Hop nchini Kabago ameachia rasmi hii leo wimbo wake uitwao Tanzania akiwa na mkongwe mwenzake Hardmad, wimbo unaitwa Tanzania. 
Kupitia BMG sikiliza wimbo huo maana ni wimbo bora.
Bonyeza HAPA Kuupakua au bonyeza Play hapo chini kusikiliza.

Monday, January 06, 2014

Freddy Macha Atoa Wimbo Mpya!

WASIFU WA MLIMA  KILIMANJARO NA TANZANIA

Mwandishi na mwanamuziki Mtanzania,  Freddy Macha,  katoa video ya wimbo  unaoyasifia mazingira, mandhari, watu,  asilia na uzuri wa Tanzania kupitia mlima Kilimanjaro. Kibao hiki alichokitunga akiishi Brazil (na kurekodi mjini London 2001) kimeshirikisha wanamuziki wa Ulaya, Afrika Mashariki na Kati ambao wengi ni marafiki zake wa karibu sana.
  "Kilimanjaro" ni kati ya nyimbo zinazotazamiwa kufungua kinywa cha Albam mpya ya Macha, baadaye mwakani.




Tuesday, October 23, 2012

Life As a School Boy - Wimbo Mpya

 Rafiki na msanii mwenzangu hapa Boston, Joe Banks, Jr. ametunga wimbo mpya unaohusu uchokozi unatokea mashuleni hadi watoto wanaumizana wengine hata kujiua.  Karibu msikilize.



Mimi na Joe Banks mwaka 2009. Tuliigiza katika mchezo wa kuigiza, "The Harlem Renaissance Reviisted". Yeye aliigiza kama Steve Lucky na mimi niliigiza kama Ms. Thelms.