Showing posts with label Jangwani. Show all posts
Showing posts with label Jangwani. Show all posts

Saturday, May 09, 2015

Mafuririko Dar es Salaam!

Jamani, jamani!  Watu wameambiwa wasijenge Jangwani! Lakini wapi, wanajenga.  Haya sasa ona matokeo! Picha Kutoka Facebook.



Fenecha ya mtu


Sebuleni hapo



Aerial View of Jangwani Dar es Salaam
Mliozoea kwenda shopping hapo, mlie tu!



Hapo Sinza

Thursday, March 31, 2011

Breaking News - Babu wa Loliondo Atatibu Wagonjwa Dar!

Wadau, Nimepigiwa simu na rafiki yangu Tanzania kuwa Babu wa Loliondo amekubali kufika Dar na kutibu wagonjwa. Huduma itakuwa kwenye viwanja wa Jangwani. Tarehe bado haijatangazwa lakini utaratibu wa kugawa vikombe itakuwepo. (Natumaini siyo utani wa April Fools)