Showing posts with label You Tube. Show all posts
Showing posts with label You Tube. Show all posts

Saturday, October 18, 2014

Chemi Katika Sinema, HIstoria ya Khanga 1994



Mwaka 1994, TAMWA, walitengeneza sinema kuhusu Historia ya Khanga. Mimi nilikuwa mmoja wa waigizaji pamoja na Issa Michuzi.  Mnaweza kuona Clip yote YOU TUBE:

CHEMI & MICHUZI IN HISTORY OF KHANGA

Monday, October 03, 2011

Sinema 'Historia ya Khanga" Cheki Mimi na Kaka Michuzi!

MaStaa wa Bongowood 1991 Michuzi & Chemi


Kabla ya Kanumba na Ray kulikuwa na Chemi na Michuzi!

Wadau, kwenye mwaka 1992 nilishiriki katika sinema ya TAMWA, "The History of Khanga".  Hebu itizame, Utaniona mimi na Kaka Michuzi, "Tunajiandaa kulala"

Mwongozaji alikuwa Dada Fatma Alloo. Pia kuna mahojiano na marehemu Bibi Titi Mohamed.

Sinema sasa iko YOU TUBE kwa hisana ya Dada Fatma na Kaka Michuzi:

http://www.youtube.com/watch?v=jAuhAB0HeeA&feature=player_embedded

Saturday, March 27, 2010

Sinema kuhusu Askofu Kibira wa Kanisa Lutheri

Mtengeneza sinema maarufu wa kiTanzania, Josiah Kibira, anakuja na sinema mpya hivi karibuni. Sinema hiyo inahusu maisha na kazi aliyofanya marehemu baba yake mzazi, Askofu Josiah Kibira. Itakuwa kwenye format ya documentary. Tazameni trailer iliyoko YOU TUBE.




Mnaweza kusoma Biography kuhusu Askofu Kibira hapa:

http://www.dacb.org/stories/tanzania/kibira.html

Saturday, September 26, 2009

Saturday, September 22, 2007