Showing posts with label Mbuzi. Show all posts
Showing posts with label Mbuzi. Show all posts

Saturday, September 03, 2016

Ni Heshima Ukichinjiwa Mbuzi wa Supu Mkoani Mara

Kuna Sherehe za aina mbalimbali mkoani Mara. Leo BMG inakujuza juu ya Shereze ya kuchinjiwa supu ya mbuzi. Hii hufanywa zaidi kwa wanajamii wa kabila la Wakurya mkoani humo.

Sherehe hizi hazina msimu maalumu bali hufanyika kadri familia moja na nyingine ama mtu na mtu walivyokubaliana. Mfano mtoto kumchinjia mzazi wake mbuzi kwa ajili ya supu (umusuri) au dada kumchinjia kaka ama mtu yeyote kulingana na makubaliano yao ambapo inaaminika mtu akiinywa supu hiyo husafisha tumbo.

Huchukuliwa kama Heshima kubwa pindi sherehe za aina hii zinapofanyika katika familia fulani ambapo ndugu, jamaa na marafiki hujumuika pamoja kama picha zinavyoonekana katika sherehe ya Chacha Kuchenga alipoenda kumchinjia mbuzi mdogo wake, Leah Marwa Binagi (Binti Kuchenga).
Na BMG
Supu huandaliwa
Supu hii huchemshwa kwa masaa kadhaa bila kuungwa
Muda wa kunywa supu.
Katika supu hiyo, huchanganywa damu mbichi ili kuongeza ladha
Bonyeza  HAPA Kujua Zaidi.

Sunday, June 01, 2014

Ugonjwa wa Akili Unazidi Wanaume Wakamatwa Wakifanya Mapenzi na Mbuzi!

Sijui ni nyege mwasho! Hivi inakuwaje mwanaume anafanya ngono na mnyama! Yaani mnaingiza nyeti zenu kwenye kidudu cha mnyama! Halafu baada unadiriki kufanya ngono na bindamu mwenzio! Khaa! Hamwogopi magonjwa? Ugonjwa wa Kaswende ulitokana na midume kufanya ngono na ng'amia!  Na wanasema UKIMWI unatokana a wanuma kufanya ngono na nyani!


Hii ilitokea KENYA. Kwa habari zai tukio hii BOFYA HAPA


Haya mwingine huyo mwaka jana! Alipigwa kichapo kikali!

Kusoma habari za tukio hii BOFYA HAPA
Mwingine huyo kakamatwa Dar es Salaam

Kusoma habari za tukio hii BOFYA HAPA
Na mwingine babati alimgeuza Mbuzi kuwa mke wake!  Soma habari kamili kwa kuBOYFA HAPA:

Wednesday, May 02, 2012

Mbuzi Mwenye Maarifa!

Cheki Mbuzi wa Pakistan alivyo na maarifa kutafuta dishi!  Kanona kweli!

Friday, September 03, 2010

Mbuzi Wakwama kwenye Daraja Montana


Making goats of themselves: Cory Freeman of the Rimrock Humane Society looks over at two stranded goats as they perch on a rail bridge in Montana

Wadau, hao mbuzi walikwama kwenye daraja hapo Montana kwa siku mbili. Ilibidi waokolewe na 'crane' kutoka kwenye mgodi karibu na hapo. Ningependa kujua walifikaje hapo?
*********************************************************************

Silly billies: Two young goats get stuck on six-inch ledge of railway bridge for two days
By Daily Mail Reporter
3rd September 2010
Here is the perfect example of how a moonlight stroll can go horribly wrong.
Two young goats that wandered onto the thin ledge of a 60ft railway bridge had to be rescued by a crane after two days high above a remote highway.

The poor animals' plight was only discovered when a passing motorist contacted a local charity and alerted them to the situation.

Rimrock Humane Society called the police, who then enlisted the help of a local coal mine to bring in a crane and pluck the animals to safety near Roundup, southern Montana.

The young female animals, weighing about 30lb each, mostly stayed on the angled ledge - even though there was a wider surface area on a pillar just a few feet away.

Rimrock Humane Society president Sandy Church said: 'The whole time, we thought they were going to fall off. These guys are just babies.'

Ms Church said it wasn't clear how the nimble-footed animals got into the predicament, but she speculated they wandered onto the ledge at night and then froze after the sun rose and they discovered where they were.

She said that the goats sometimes stepped to the pillar but returned to the narrower ledge, where they tried to rest their tired legs by tucking them under their bodies for a few seconds at a time.

Long way down: The two goats remained on the thin ledge for two days - until authorities could pluck them to safety after enlisting the help of a nearby mine, which brought a crane to the rescue

Authorities were called on Tuesday, when the goats were first spotted. But confusion about the location delayed the rescue until another caller alerted the humane society yesterday.

The sheriff's office, Ms Church and Cory Freeman, a humane society volunteer who runs the Animal Edventures Sanctuary, enlisted the help of officials at Signal Peak Energy, which operates a nearby coal mine.

Mine boss John DeMichiei volunteered a mining crane with an arm high enough to reach the stranded goats that eventually moved to the pillar.

Both animals were thirsty and tired but have recovered well after their ordeal - and are undoubtedly giving late-night walks a miss for the time being.

Read more: http://www.dailymail.co.uk/news/worldnews/article-1308577/Silly-billies-Two-young-goats-stuck-inch-ledge-railway-bridge-days.html#comments#ixzz0yToSKGDb

Thursday, January 24, 2008