Saturday, August 18, 2018

Mwanaume Mweusi Atafutwa kwa Kushika Matako ya Wanawake Boston!!

Huyo bwana, Nyege Mwasho, anatafutwa na polisi wa jimbo la Massachusetts baada ya kuwashika wanawake wawili matako, siku ya alhamisi.  Indaiwa aliwapita akiwa anaendesha baiskeli halafu kawashika matako maeneo  ya Boston Esplanade.  Kama Unamtambua piga simu 617-727-6780.

Kwa haari zaidi bofya hapa:


Massachusetts State Police want to know if you have seen this man who was riding his bicycle on the Boston Esplanade Thursday afternoon just before 2pm.
He is suspected of grabbing two women by the buttocks as he rode by them, just west of Community Boating. 
The surveillance video shows the man, a black male, dressed all in black with a black backpack that had two pieces of white tape on it.
If you can help this investigation, please contact Trooper Martin Concannon at 617-727-6780.