Saturday, April 13, 2019

Wehu Wavunja Kaburi ya Marehemu na Kubaka Maiti!

Imani ya Ushirikina (Uchawi) umezidi Tanzania!  Watu wanafukua maiti halafu wanaibaka!  Wana uchu ya pesa na mengine kuweza kufanya hivyo au ni wagonjwa wa akili?  Upumbavu! Mary Mkwaya Malamo alikuwa miaka 35. Alifariki mwanzoni mwa wiki.

*********************************************************************
The Late Mary Mkwaya Malamo

Mwili wa aliyekuwa Afisa wa Wizara ya Nishati Mery Mkwaya Maramo aliyefariki mwanzoni mwa wiki hii na kuzikwa jana katika Makaburi ya Pugu Mwakanga jijini Dar es Salaam, Usiku wa kuamkia leo (Ijumaa) watu wasiojulikana wameufukua na kuutoa nje ya jeneza kisha kuuvua nguo .
Kaka wa Marehemu Mary, Deogratius Maramo amesema inasemekana mwili wa marehemu uliingiliwa kimwili lakini bado wanasubiri ripoti ya Polisi ili wajue kilichomtokea ndugu yao.

Kaka huyo wa marehemu amesema kuwa hakuna kitu chochote kilichoibiwa kaburini humo.!


Kaburi la Marehemu Mary Mkwaya Malamo baada ya kuvunjwa na wachawi


Mnaweza kuangalia Video HAPA:

Maelezo ya Fundi aliyegundua Kaburi Imevunjwa. HAPA

Ugonjwa wa Homa ya Dengue Umerudi!

(AP) - Tanzanian authorities have announced an outbreak of the mosquito-borne dengue fever in the commercial capital Dar es Salaam and Tanga region along the coast.

   Deputy health minister Faustine Ndugulile said Thursday that 252 people have been hospitalized in Dar es Salaam while 55 others have been admitted at health facilities in the Tanga region.

   Dengue fever causes severe headache along with muscle and joint pain. There is no cure.

   The Tanzanian government attributes the outbreak to heavy rainfall.

Thursday, April 04, 2019

Kumbukumbu - Mauaji Rwanda 1994

Wadau, nilikuwa mwandihsi wa habari katika gazeti la serikali, Daily News. Siku ya 4/4/1994, tulipata Telex kibao kuwa watu wanafurika Bukoba na sehemu zingine mpakani kutoka Rwanda. walisema watu wanauawa ovyo, kisa...eti WaTusi!  Walisema watu waliokuwa marafiki jana, leo ni maadui!  Asante Mwalimu  Nyerere, sisi waTanzania wote ni NDUGU!

******************************************

Rwanda genocide victims 1994

By The Associated Press

   KIGALI, Rwanda (AP) - Twenty-five years ago, Rwanda descended into an orgy of violence in which some 800,000 Tutsis and moderate Hutus were massacred by the majority Hutu population over a 100-day period in what was the worst genocide in recent history.

   The massacres, mostly by gangs wielding machetes, swept across Rwanda and groups of people were killed in their homes and farms and where they sought shelter in churches and schools. The mass killings started after a plane was shot down on April 6, 1994, in the capital, Kigali, killing President Juvenal Habyarimana. The killers were encouraged by hate messages broadcast on radio stations. Rwandan police, military and other government authorities did not stop the killings.

   Scores of thousands of terrified Tutsis fled Rwanda for neighboring countries including Congo, Tanzania and Uganda. The waves of murders continued until the rebel forces of the Rwandan Patriotic Front took control of the country. Paul Kagame, who led the rebels, helped re-establish order in the country and served as vice-president and defense minister from 1994 until he became Rwanda's president in 2000. Under Kagame's leadership Rwanda has achieved stability and economic growth, although he is widely accused of being intolerant of criticism and of running a repressive government.

   The scale of the killings in 1994 was unimaginable but the reporting and photographs taken at the time, for which AP won Pulitzer prizes, helped to inform the world of the horrors of the genocide.