Thursday, November 16, 2006

Huyu ni Emmitt Smith na patna wake, Cheryl Burke wlioshinda mashindano ya 'Dancing with the Stars' jana. Alishinda baada ya watazamaji wengi kumpigia kura kama vile American Idol. Kila wiki wachezaji walipunguzwa mpaka kupata wachezaji bora.

Emmitt ni mcheza football na pia bonge la baba, lakini alishangaza watazamaji kwa 'moves' zake ambazo usingeweza kutegemea mtu na mwili kama wake kufanya.

Wacha wazungu wanune lakini weusi wamejaliwa na 'rhythm'! Kucheza iko katika damu yetu!

Navyosikia wanaume wengi sasa wanachukua Dance Lessons! Haya sasa Dancing ni' in' kwa wanaume!

3 comments:

Anonymous said...

mimi ni mfuatiliaji sana wa hiki kipindi,mimi pia nilimpigia kura Emmit, mario nilikua simpendi sana maana alikua anajiona yeye ndio bora kuliko wengine na pia alikua ananiboa kutokana na jinsi alivyokua anamzungumzia sana katrina alikua anaboa sana, lkn pmj na kwamba yeye alikua ni dancer mzuri kuliko emmit wengi walimpenda emmit kutokana na busara zake na pia alikua anafurahisha ukumbi, hasahasa freestyle ilikua bomba sana

Anonymous said...

Na mimi pia nilishangilia sana ushindi wa Emitt. Alistahili kabisa. Dansi yao ya fainali ilikuwa the best. Mwaka jana pia nilimpenda sana Jerry Rice, ingawa yeye hamfikii Emitt kwa kuzikata...

Anonymous said...

That Smith guy is gay.Tha`s all I can say.