Monday, January 25, 2010

Shukurani - Msiba wa Mume Wangu Rev. Douglas G. Whitlow



Ninachukua nafasi hii kuwashukuru wote waliojitokeza kunipa pole katika msiba wa mume wangu, Rev. Douglas G. Whitlow, aliyefariki sikukuu ya Martin Luther King January 18, 2010 hapa Cambrige, MA.

Nawashukuru waliokuja nyumbani kwangu kunipa pole, waliotoa pole kupitia 'comments' kwenye blogu, walionipigia simu kutoka kila kona ya dunia, waliotuma text message/sms, waliotuma kadi kwa njia ya posta na waliotoa salamu za pole kupitia wengine. Ninawashukuru mno.

Pia, nawashukuru waliotoa michango ya pesa, vyakula, vinywaji, na mengineo. Kwa kweli vilihitajika na vimesaidia. Mbarikiwe wote!

Wadau, ingawa marehemu alikuwa ni mMarekani ni waTanzania walionisaidia kumzika. Na nitaishia kusema hivyo.
Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. May Reverend Douglas Whitlow Rest in Eternal Peace.

6 comments:

Anonymous said...

Pole da Chemi,Ya sound soo sad lakini Mungu ndio anajua atakupaje Nguvu az human utasema why me?Ya loved Ones wanakutangulia Mr Kadete rest in peace Mr Duglas rest in peace,Da chemi pray for them always koz your lucky woman in dis worlds ,Hukuwa na mtt na Rev any way just thank god una 2 sons watakuletea wenzako na utakuwa na Grandyz life itasonga,Kumshukuru mungu kila jambo ingawa wanasema Mume,Mtoto ,Mke anauma sana yote ni Mapenzi ya mungu dont say why me?Love uuu da Chemi nimeumia hujui tuuu

Anonymous said...

POLE DADA, MUNGU AKUTIE NGUVU.

Mija Shija Sayi said...

Asante kushukuru dada.

Anonymous said...

dada pole kwa msiba mimi bifsi ni member wa blog yako japo ila kufiwa mme inauma sana all the best dada.

Anonymous said...

Pole sana Da Chemi, hilo ni pigo kubwa kwa kweli-Bila shaka familia yako na msaada wa mwenyezi Mungu utakusaidia katika kipindi kigumu

sekela said...

Pole na msiba..
May the Lord give you comfort and rest his soul in eternal peace..