Wednesday, June 23, 2010

Samaki Mrefu

Picha kutoka: http://www.barnorama.com/wow-thats-one-big-fish/

Huyu ni samaki aina ya Herring. Anapatikana huko nchi za Scandinavia. Anaweza kufika urefu wa mita 17! Hebu fikiria kama wangekuwa huko Ziwa Victoria wanapambana na Sangara!

Samaki mkubwa hivyo angeweza kulisha watu wangapi huko Bongo? Ugali na Samaki.

4 comments:

Kaka Trio said...

Da Chemi kwani sie tuna taabu ya milo? sema tunachagua sana. Nyoka hatuli, nyani hatuli, chatu hatuli, tembo hatuli.

Haya sasa wilder beast wale kibao wanaliwa na mamba tu sie tunawangalia, mamba wenyewe hatuwavuni inavostahiki ingawa wengi wa watu pia hawakuli mamba yaani krokodaili. Kwa maana hiyo hatuna hata ya kumtamani huyo samaki kwa sabu ni mref na ni wa scandinavia sie tunavo vya kwettu na tuvikule hivyo.

Anonymous said...

Kwanza uweza wa kumkamata samaki mkubwa hivyo tunao? Haka kaboti ka mvuvi katashindwa kulibeba. Angeweza kulisha kijiji kizima tena kwa siku mbili tatu!!!!

Anonymous said...

Hana ladha nzuri!

Anonymous said...

Minofu tele!