Thursday, September 02, 2010

Simu ya Kifo Yatokea Kweli Kenya!!!

Eti ukipokea simu kutoka kwa namba fulani huko Kenya, ubongo utapasuka. Uvumi unasema kuwa watu zaidi ya elfu moja wamekufa. Imebidi serikali ya Kenya iingilie!!!


3 comments:

Anonymous said...

Nilidhani wakenya wameendelea. Kumbe wana mawazo ya kitoto. Kuipokea simu ndo inakuaje, risasi zinapita?

Anonymous said...

Tanzania ingekuwa BALAA! Watu wangechinjana kabisa kwa kusema fulani anataka kuwaloga!

Muchuka said...

ilikuwa namna ya kuwafanya watu wapige simu. hapa simu imekuwa very cheap kumpigia mwingine, waongea hadi maneno kuisha