Friday, October 01, 2010

Ushenzi wa Serikali ya Marekani - Kuambukiza Watu Magonjwa ya Zinaa!!!

Hapa Marekani miaka ya 1930's weusi wliambukizwa kwa maksudi ugonjwa wa Kaswende. Halafu hawakupewa matibabu. Leo tunasikia miaka ya 1940's waMarekani walienda nchi ya Guetemala huko Amerika ya Kusini na kuwambukiza watu magonjwa ya Kaswende, kisonono, na Vidonda (herpes). Hebu tungojee kusikia wakiomba msamaha kwa kuambukiza waafrika na wamarekani weusi UKIMWI!!!

Lakini tusisahau kuwa waMarekani waliwaua Wahindi Wekundu wa hapa Marekani na watu wa visiwa vya Pacific kama Hawaii kwa kuwambukiza magonjwa ya zinaa na magonjwa kama Smallpox. Wazungu wakatili kweli kweli. Wanaona asiye mzungu si binadamu sawa na wao!

***************************************************
Ktukoa CNN.Com

US apologizes for infecting Guatemalans with STDs in the 1940s


October 1, 2010

Washington (CNN) -- The United States apologized Friday for a 1946-1948 research study in which people in Guatemala were intentionally infected with sexually transmitted diseases.

A statement by Secretary of State Hillary Clinton and Secretary of Health and Human Services Secretary Kathleen Sebelius called the action "reprehensible."

"We deeply regret that it happened, and we apologize to all the individuals who were affected by such abhorrent research practices," the joint statement said. "The conduct exhibited during the study does not represent the values of the United States, or our commitment to human dignity and great respect for the people of Guatemala."

President Barack Obama called his Guatemalan counterpart Friday "offering profound apologies and asking pardon for the deeds of the 1940s," President Alvaro Colom told CNN en Espanol in a telephone interview from Guatemala City.

"Though it happened 64 years ago, it really is a profound violation of human rights," said Colom, who said the report took him by surprise.

An international, independent commission will carry out an investigation, he said.

Clinton called him on Thursday, he said. "She too offered her apologies," he said, adding that she told him she was ashamed the United States had been involved in the matter.

Asked whether Guatemala was planning to take legal action, Colom said, "That's part of the work of the comission."

"We reject these types of actions, obviously," said Guatemala presidential spokesman Ronaldo Robles. "We know that this took place some time ago, but this is unacceptable and we recognize the apology from Secretary Clinton."

The study came to light recently when Wellesley College researcher Susan Reverby found the archived but unpublished notes from the project.

The scientific investigation, called the U.S. Public Health Service Sexually Transmitted Disease Inoculation Study of 1946-1948, aimed to gauge the effectiveness of penicillin to treat syphilis, gonorrhea and chancres. Penicillin was a relatively new drug at the time.

The tests were carried out on female commercial sex workers, prisoners in the national penitentiary, patients in the national mental hospital and soldiers. According to the study, more than 1,600 people were infected: 696 with syphilis, 772 with gonorrhea and 142 with chancres.

A similar study was conducted between 1932 and 1972 in Tuskegee, Alabama, on nearly 400 poor African-American men with syphilis whose disease was allowed to progress without treatment. The subjects were not told they were ill with the disease.

The Guatemala study was done under the direction of U.S. Public Health Service physician John C. Cutler, who later ran the Tuskegee experiment, said Dr. Francis Collins, director of the U.S. National Institutes for Health.

Collins told reporters that the Guatemala study represented "a dark chapter in the history of medicine."

U.S. officials said Friday that ethical safeguards would prevent such abuses from occurring today.

"The study is a sad reminder that adequate human subject safeguards did not exist a half-century ago," the U.S. statement said. "Today, the regulations that govern U.S.-funded human medical research prohibit these kinds of appalling violations."

Clinton and Sebelius said the United States is launching an investigation and also convening a group of international experts to review and report on the most effective methods to make sure all human medical research worldwide meets rigorous ethical standards.

"As we move forward to better understand this appalling event, we reaffirm the importance of our relationship with Guatemala, and our respect for the Guatemalan people, as well as our commitment to the highest standards of ethics in medical research," the U.S. statement said.

6 comments:

malkiory said...

Chemi, asante kwa habari hii. Sasa naanzak kupata na wasiwasi hata kuhusu huu ugonjwa ukimwi, henda ulianza kwa madhumuni haya haya.

Godfather said...

Unafahamu yale madawa ya kulevya, crack? CIA waliibuni ili waangamize weusi wa Marekani. Ubaya ulipenya mpaka majumbani mwao wazungu maana watoto wao waliipenda sana! Hiyo ya UKIMWI tutasikia tu! Watu walisema miak mingi kuwa waMarekani waliibuni kama Germ Warfare. Huenda ni kweli.

stone wa kitaa said...

Wazungu kiukweli wanatamani watu tofauti na wao tusingekuwepo kabisa,
je ukimwi kwa hapa bongo ulianzaje anzaje? mimi hua naogopa sana nikimuona hata mtalii hapa town,nahisi nakitu kakileta bongo

Anonymous said...

Nilipokuwa Germany miaka ya 90 kuna mwanasayansi mmoja aliwahi kupublish katika magazeti ya GDR kuwa ukimwi ni experiment ilyoenda mrama, ambayo wamarekani walikuwa wakiiendesha miaka hiyo ya 40-50, Nikadhani ilikuwa propaganda ya kikomunisti. Sasa naitafuta hiyo cutting ili niweke jamvini. Wanatuua na kutupulizia kwa vyandarua? Je tuamini sumu kali inayoua mbu haiwaathiri watoto wadogo wanaolengwa. Tena hata immunity yao bado iko chini? Wamarekani wameangamiza mbu kwa kutumia DDT iweje sisi tusiruhusiwe bali tuvutishwe hiyo sumu usingizini. Ni vema waafrika tuamke si kila mtu atuchekeaye anatutakia mema.

Anonymous said...

aiiiii inaniuma saana hawa viumbe wana laana za ukubwani wao wanao.walaaaniwe watuibie mali zetu afu watuangamize pia kwa magonjwa ya ajabu ajabu huo ukimwi waliutunga mahabara.dawa ipo ilaa hawataki kutupa sisi waswaili.waache ipo cku tutawapandishia mori.viva africa aluta continua!!! fkuza makaburu wote baraani afirca .robert mugabe juu juu zaidi

Anonymous said...

Chemi, naona uliiminya comment yangu, lakini ukweli wa mambo hakuna "race" ya binadamu yenye uungwana au wema! tunaishi katika dunia ya "survival for the fittest" Wakati wa Mengistu Ethiopia misaada maziwa ya unga iliyopelekwa Ethiopia ikawa repacked na kuuzwa nje! na hata kuweka chokaa!Nakuzidi kufanya mamilioni ya watu wake wafe kwa njaa! Utasemaje? Sina imani na race ya binadamu awe mzungu! Mweusi!Wamerekani wamefanya hivyo! China wakati wa Cultural Revolution imefanya hivyo, Urusi nyakati za kuujenga ukomunisti imeua mamilioni Siberia.....soma The Gulag Archipelago!