Friday, June 03, 2011

Matako Makubwa Oyee!!!



Matako Makubwa Oyee!!!! Katika mila ya waafrika wengi kuwa na matako makubwa ni urembo. Katika mila za wazungu kuwa na matako fleti kama yamepigwa pasi ndo urembo! Wanawake wengi wenye asili ya Afrika wana matako makubwa kiasi. Siku hizi wazungu wametengeza chupi zenye pedi maalum ili matako fleti yaonekane makubwa! Mungu abariki waliozaliwa na matako makubwa natural!

15 comments:

Rik Kilasi said...

Kazi kweli kweli maana mengine yamezidi!!!

MATANGALU said...

Dada chemi ni kweli tunapenda wanawake wenye matako makubwa, lakini hayo hapo kwenye picha... "no thanks" and I will pass it.

Hayo hapo kwenye picha siyo matako makubwa, hayo tunayaita "mafungu ovyo ovyo"

Simon Kitururu said...

Hivi vifaa vinataka uwefundi lakini wakufikisha mtalimbo mahali pake ndio maana kuna wapendao wenye tako dogo ki chumamboga!:-(

Simon Kitururu said...

Duh!
Ila MDADA pichani kabarikiwa KILO kadhaa extra aisee!

Anonymous said...

Hapa Bongo kwa kweli akina dda na akina mama wamejaaliwa makalio lakini haya ni too much!

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Da Chemi: Kuwa na Mafuta katika matako na mapajani (mahips) kumeonyeshwa na wataalamu kuwa na faida nyingi za kiafya.

Hebu tazama utafiti huu:

http://matondo.blogspot.com/2010/01/utafiti-umbo-la-kibantu-aka-umbo-namba.html

emu-three said...

kila kitu kina kadiri yake, ikizidi sana ni ugonjwa!

chib said...

Duh! Haya kwenye picha ni kazi ya mchina!

Anonymous said...

Juu Size 16! Chini saizi 28 +! Khaa!

MICHUZI BLOG said...

Huku kwetu baadhi ya kinadada wanatumia dawa za 'Mchina' kuongeza ukubwa wa makali, Da'Chemi huko kufanya makalio yawe 'fleti' kama yamepigwa pasi (endapo ni makubwa) wanafanyaje?

Anonymous said...

huyo si havijawa wa magomeni

Anonymous said...

Kwa mara ya kwanza namuona ankal akikomenti kwenye blogu, No, da Chemi hayo si makalio, naungana mkono na Matalangu kuwa hayo ni mafungu ovyo ovyo.

Anonymous said...

Now you are contradicting yourself, umesema kwa wenzetu wazungu fashion ni kuwa na matako fleti, hapo hapo unasema siku hizi wazungu wanatumia chupi maaluum kuyafanya matako yao yawe makubwa! I guess ndio maana umemchanganya Michuzi (angalia swali la Michuzi kwenye comments). Usinibanie comment yangu, it's balance and check ili tuwe waangalifu zaidi na comments zetu.

Anonymous said...

Muhidin Issa, hizo ndizo hoja unazopenda kuchangia! Kazi ipo kweli kweli.

"Paka kweli haachi ungama wake", hata akiwa na wajukuu!

Anonymous said...

Wow! Now that is one huuuuge 'behind' and beyond 'thunder-thighs'. Indeed, nice to have a nice cushion-like-behind, but that's beyond thunder. As much as I hate cosmetic-plastic surgery [unless for severe accident injuries], I think that woman is justified in seeking some kind of MEDICAL INTERVENTION, in alleviating her 'problem'. I'm sure her present condition, could be somehow dangerous.

Another thing, with a 'behind' like that, why would she wear an outfit like that? The outfit is too tight, transparent, and doesn't do her any favours.