Saturday, December 03, 2011

Ziara ya Rais Bush Tanzania Mwaka 2011

Naona Bush amekumbuka wema aliyotendewa na mapendo alioyoonyeshwa alipotembelea Tanzania mwaka 2008.  Karudi Tanzania juzi kwenye sherehe za siku ya kuadhimisha UKIMWI Duniani.  Kwa kweli Bush ametendea wagonjwa wa UKIMWI na Saratani wema barani Afrika. Hapa Marekani watu bado wanamwona kama shetani aliyeharibu nchi. Rais Bush alitembelea hospitali ta Mnaza Mmoja ambako kuna mradi wa kusaidia wagonjwa wa UKIMWI.

*********************************************************************

Former U.S. President George W. Bush and his wife Laura Bush arrive at Mnazi Mmoja Hospital to see the government efforts in the prevention of transmission of HIV/AIDS in Tanzania's capital Dar es Salaam December 1st, 2011. REUTERS/Emmanuel Kwitema

Former U.S. President George W. Bush and Tanzanian President Jakaya Kikwete pose for photographs at the State House in Dar es Salaam December 1, 2011. REUTERS/Emmanuel Kwitema





   Photos Courtesy of Tanzania State House
Kwa habari zaidi someni:

http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=35986

http://www.hsph.harvard.edu/news/features/features/bush-mnazi-mmoja-center-aids.html

http://www.menafn.com/qn_news_story.asp?storyid={d68b78a8-0d93-496a-8aed-a6a1d6cedc65}

2 comments:

Anonymous said...

Huyu jamaa anaitwa Bush anatafta nini hapa?!! hivi kweli mtu huyu anaweza kutoka Marekani kuja kukagua Salon Magomeni kweli?!!! hivi kwanini sisi Waafrika tunakua rahisi na kupenda omba omba namna hii?!!

Huyu jamaa kaua watu wengi sana Duniani hapa kwanini asikamatwe anakuja hapa kufanya nini?!! wamemuua hata Ghadaff hawa MASHETANI sasa yanatafta nini hapa Afrika?!!
--

Anonymous said...

Mdau hapo Juu, ni kweli Bush kaja kukagua Salon Magomeni? Tangu lini hosptali ya Ocean Road ikawa Salon? Hebu acheni chuki binafsi......ni mkono wa Bush uko wapi kwa Gaddafi?......Nenda kamuulize JK anapata nini kwa Bush.....au hata wizara ya Afya ili ujue ni kiasi gani kinaingia nchini toka Foundation ya Bush......myonge mnyongeni haki yake mpeni.......