Saturday, March 01, 2014

Mrembo Miss Kentucky 2010 Asema Yeye Ni Shoga!!!

Miss Kentucky 2010 Djuan Trent

 Wadau, huko Kentucky moto unawaka baada ya Mrembo, Miss Kentucky 2010, Djuan Trent (26) kujitokeza na kusema yeye ni shoga.   Ameamua kujitokeza kwa vile Mkoa wa Kentucky karibu wataruhusu ndoa za mashoga!  Midume mlie tu....huyo mrembo anapenda wanawake na si nyie wenye dhakhari.

 Mikoa ya kusini ya Marekani wan Siasa kali dhidi ya wasenge na mashoga.

******************************************************

KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA:

On Thursday, there was huge news that a Kentucky judge ruled that same-sex marriages performed in other states and countries must now be recognized by the state. Some more news came out on Friday, Feb. 28, 2014, as former Miss Kentucky Djuana Trent publicly revealed in her blog that she is gay, per WKYT.

She started her blog post by wrestling with herself as to whether or not she should keep writing and reveal her news or still keep it inside. With that being said, she wondered how she should reveal her news - special date? Mysteriously? Seriously?
Djuan Trent simply decided to make her announcement with just three words:
"I am queer."
Djuan Trent went on to be crowed Miss Kentucky in 2010 and finished in the top 15 of the 2011 Miss America pageant. She had traveled all around Kentucky during her reign and was a spokesperson for the Kentucky Department of Agriculture's "Kentucky Proud" slogan and initiative.
Trent wrestled with how to make the announcement:
"I could write about what it was like to come out to my mom for the third and final time at the age of 26 (the first time was when I was in the 4th grade and the second time was in college). I could write about the years I spent praying to a God whom I wanted so badly to serve with all of my heart, but couldn't understand why this God made me "wrong". I could write about all the times that people have asked me if I have a boyfriend and I've purposely chosen to just say "no" with no further explanation."

4 comments:

Anonymous said...

Tafadhali katika jamii ndogo ndogo usiingize wahadzabe ukawaweka na mashoga. Hawa mashoga ni makundi maalum. Kuna makabila 120+ Tanzania. Mengine yana wato laki moja mengine laki nne hayataji lakini wahadzabe wanatajwa. Kuna makabila 90% waliuawa na wajerumani kutokana na kiburi chao sio hao wahadzabe tu. Mashoga, wasagaji, basha ni vikundi vidogo vyenye shida au mahitaji maalum. Tafuteni chanzo chao muwasaidie wajirekebisha na kuacha. Wenye matatizo na homoni zao, matatizo ya maumbile-kilema; mapepo ya kupenda ubasha na usenge, usagaji, na wale walioathirika kwa kufanyiwa hivyo mpaka wakazoea au kutokana na shida ya maisha wakawa hivyo. Kama tunavyosaidia vilema na omba omba, wenye matatizo ya ngozi-albino, nao wasenge na wasagaji ni kundi maalum. Ikitokea siku wapate umoja na uhuru na nguvu wawataje waliowafanyia nini wakawa hivyo na waonyeshe picha za mabasha au wateja wao-nchi haitakalika-kitanuka!! Kuna wale wenye tamaa na fikra za kujitamanisha kiasi wamba anaweza kufumwa anamtenda mbuzi, ng'ombe, mbwa; katoto kachanga ka miezi kadhaa. wale wagonjwa. Huko ulaya mpaka mtu anaoa mbwa. hapa TZ ipo watu wameshafumwa na mbuzi, mbwa, kuku akimtenda uchafu. Kisaikolojia wana matatizo. Lakini unapomuonea mtoto na kumfanya hivyo akazoea na baadae uje umuue kwa kua hivyo ni laana kubwa. Wanawake ndani ya ndoa wanateseka kwa ulawiti pia mahusiano ya urafiki yanawakuta wengi na anatishiwa kuachwa. Kuna wanaume wanabakwa/kulawitiwa kwa kisasi cha kufumaniwa na mke/mpenzi; kukomoana kibiashara na kumuaibisha ahame hapo kukomesha ushindani. Umri wa mpaka miaka 26 tulikuta mwanaume anatoa taarifa ya kubakwa, naye akaanza kulipiza kisasi kwa kubaka/kulawiti wanaume mpaka vijana/vitoto kama kujitibu kiakili kulipiza kisasi. ukienda dansi za mduara waendako mashoka, utakuwa vitito vivulana vidogo vimejaa. Hivi hutongoza mashoga ili wawatendee wapate hela. na hivi vinasoma shule, huko shule vinaingiza wenzao ktk majumba mabovu na kuwalawiti kama wababe fulani hivi amasivyo wababe hao watakupiga ukikubali watakulinda. Vitoto vyetu vinawaburudisha mashoga vipate hela ya ice creame. Kuna shoga shoga hafanyi yeye sex hawezi; yupo shoga-double anafanya na shoga mwenzake na kufanyiwa na anaweza kuwa na girl friend mke; kuna basha basha na basha ana mke na familia. sasa hawa wote ni watanzania-mtawaua? Ni mibaba na koo na familia zao icha ya hao vijana. Wengine ni wasomi wenye madigrii na vyeo vyao wamewapangia mashoga vyumba. Shame on women ambao wakifumania waume zao wanampiga msichana au shoga waliomfumania nao-pumbavu!! kwa nini mume humpigi na unarudi naye home kuchukua uchafu pamoja na ukimwi? Tunaunda taifa la uchafu wenyewe. Tutafute mbinu za kuwafanya watenda na watendewa waache laana hii sio kuonea upande mmoja tu!!

Anonymous said...

Hasara kweli! Kweli ssisi wanaume tulie! Huyo dada mrembo kweli!

Anonymous said...

Nafikiri ili mjadala unoge ni lazima yeyote anayeleta hoja yoyote aende zaidi ya kuanza kutetea. Ni vema kwanza tutafsiri maana ya neno haki za binadamu. Hakuna hakina za kibinadamu ambazo ulimwengu wote huamini hata kama UN imesema maana UN nayo ni jamii fulani na wala siyo ulimwengu mzima na siyo nchi zote ni wanachama wa UN. Kwa hiyo lazima tujadili haki za binadamu kwa mtazamo fulani. Kuna mitazamo mingi na yote ni sahihi kabisa. Mfano kila mtu anapenda asidokolewe na kibaka na kibaka naye anayo haki ya kuishi na siyo kupigwa hadi afe. Mwenye mali anapenda kulindwa na vibaka na ila kibaka anastahili kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria na siyo na mob hadi kufa. Hapo tunazungumzia haki za aina mbili.

Sasa haki za mashoga ni lazima kwanza tukubaliane neno shoga kwa lugha ya Tanzania. Kwa ufupi hakuna hata neno shoga kwenye katiba maana ni utamaduni mgeni wa Magharibi. Kwetu sisi Wtz na Waafrika ukiacha A. Kusini wengine wote hawana huo utamaduni mchafu. Kwa hiyo ni sawa kabisa ushoga katika nchi za Magharibi na Marekani maana wenyewe wanajali mtu mmoja kuliko jamii kama ilivyo kwetu. Inanikumbusha mgongano kati ya utamaduni wa Magharibi na Afrika katika fasihi. Ni kawaida kwa ulaya watu kujali mtu mmoja badala ya jamii. Huko mmwanaume anaweza kuwa na artificial vagina na mke wake na mwanamke anaweza kuwa na artificial penis na kuwa mume wake au kumtafuta mwanamke mwingine amwingilie kama mwanaume. Kwao ni sawa. Kwao ni sawa kutokiwa na watoto ila sisi watoto bado ni muhimu. Kwa wenzetu ukiwa mzee utatunzwa na serikali hadi ufe ili kwetu watoto ndio wa kukutunza hivyo umuhimu wa kuzaana na familia au kuwa jamii.

Kwa msingi huo, Wazungu hawana haki ya kutufundisha namna ya kuishi bali sisi tunajua namna ya kuishi kama apendavyo Mungu. Sisi kwetu tunahitaji jamii maana jamii bado na msingi wa jamii ya Kiafrika na kwingine ukiacha Magharibi. Wanaotaka kama Wazungu ni vema wakaenda kwa na siyo kuishi kama Wazungu hapa kwetu Afrika. Ila wakitaka kuishi hapa lazima waishi kama wengine. Ukienda kwa Waroma uishi kama Mroma. Ili ukija kwetu Arusha lazima uishi kama Maasai vinginevyo jamii inaweza kukupoteza kama kibaka! Kwa hiyo haki za binadamu kwa mashoga Magharibi ila kwetu hamna kwa sasa ijapokuwa wanaolawitiana wapo na wanawake wanaotumia uume wa mpira wako ila wasifanye public show maana haikubaliki na kama kibaka akikamatwa mbele kwa mbele!

Anonymous said...

Whopeedeedoo! So she's gay. No big deal~~ at least she's NOT a murderer; but then again, maybe some people would rather be friends with murderers, than be around gay people.

The thing to learn, as far as people who are different from ourselves, is: to TOLERATE differences. We should RESPECT ourselves and respect others too. What CONSENTING ADULTS do BEHIND closed DOORS, is nobody's business, but the two people concerned.

Let's live, and let live! Life's too short to be bothered about petty things...