Renowned Kenyan Lawyer, PLO Lumumba set to receive an African Luminary Award in Lowell, USA |
(AJABU AFRICAN NEWS, JAN, 26, 2018) LOWELL, Mass.__Professor PLO Lumumba, a popular Kenyan lawyer, who shot to even more limelight recently when he animated proceedings at Kenya Supreme court while defending the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC)---during the reelection battle between president Uhuru Kenyatta of the Jubilee coalition and Raila Odinga of the Opposition's NASA coalition---is set to arrive in Boston this week where he will receive an award for his works that have caused ripples in many corners of the African continent.
Lumumba, who just recently stepped down as the director of the Kenya School of Law to pursue other interests and pave way for fresh leadership will receive the Africa Luminary Award conferred by the African Cultural Association, organizers of the wildly popular Lowell African Festival. (watch Lowell African festival Video Recap here >>)
The unique ceremony will take place this Saturday, January 27th 2018 at the Lodge of Elks hall located at 40 Old Ferry Road in Lowell, approximately 35 miles north of Boston starting at 6pm to around midnight. FULL STORY HERE >>> |
Showing posts with label Award. Show all posts
Showing posts with label Award. Show all posts
Sunday, January 28, 2018
Kenyan Lawyer Receives Award in Massachusetts, USA!
Monday, May 25, 2015
Tuzo za Filamu 2015
Tuzo za Filamu 2015 zafana, Serikali Yahaidi Neema
Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 jana
Mama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015.
Mama yake na Steven Kanumba akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo ya mwanaye kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.
Mama yake na Steven Kanumba akilia baada ya kuitwa ampokelee tuzo mwanaye/
Irene Paul (Best Actress) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.
Irene Paul (Best Actress) akipongezwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.
John Kalage (Best Director) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.[/caption]
[caption id="attachment_57745" align="aligncenter" width="800"]
Hissan Muya (Best Actor Supporting Role) akipeana mkono na viongozi wa meza kuu wakiongozwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.[/caption]
[caption id="attachment_57743" align="aligncenter" width="800"]
Grace Mapunda Best Actress Supporting Role) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.[/caption]
[caption id="attachment_57744" align="aligncenter" width="620"]
Hissan Muya (Best Actor Supporting Role) akipokea tuzo kwa niaba ya msanii mwenzake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.[/caption]
[caption id="attachment_57749" align="aligncenter" width="800"]
Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 jana.[/caption]
[caption id="attachment_57753" align="aligncenter" width="800"]
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wednesday, April 09, 2014
Ras Kikwete Achaguliwa Kiongozi Boara Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s
Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo.
PICHA NA IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi katika Maendeleo Barani
Afrika kwa mwaka 2013 .
Heshima
hiyo kwa Rais Kikwete imetolewa na jarida maarufu la kimataifa la African
Leadership Magazine Group na Tuzo la heshima hiyo itatolewa jioni ya kesho,
Jumatano, Aprili 9, 2014, katika sherehe iliyopangwa kufanyika Hoteli ya St.
Regis mjini Washington, D.C ikiwa ni pamoja na chakula cha jioni.
Tuzo
hiyo itapokelewa kwa niaba ya Rais Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe, ambaye tayari amewasili
mjini Washington kwa sherehe hiyo kubwa.
Tuzo
hiyo ya heshima kubwa hutolewa kwa viongozi wa Afrika ambao hutoa mchango
mkubwa zaidi wa kiuchumi na kijamii kila mwaka kwa watu wao na limetolewa kwa
Rais Kikwete kwa mwelekeo wake usiokuwa wa kawaida na wenye mafanikio makubwa
kwa masuala ya utawala bora.
Jarida
hilo linasema kuwa ukweli wa hali hiyo bora ya utawala bora chini ya uongozi wa Rais Kikwete umeendelea kumiminiwa
sifa kimataifa na leo umeifanya Tanzania kuwa nchi ya kuigwa mfano kama kituo
cha uhakika cha uwezeshaji kutokana na mageuzi makubwa yaliyofanywa katika sera
na mifumo ya uchumi.
Jarida
hilo linasema kuwa Rais Kikwete alikuwa chaguo kubwa na la kwanza la wasomaji
wa Jarida hilo ambao walipiga kura kupitia njia mbali mbali za mawasiliano za
jarida hilo.
Linasema
Jarida hilo, “Kuhusu maoni ya wasomaji wetu juu ya kiongozi yupi wa Afrika ambaye ni
hodari zaidi kwa maendeleo ya kiuchumi na maendeleo, matokeo ya majibu ya swali
hilo yamedhihirisha bila shaka yoyote kuhusu nafasi ya Rais Kikwete katika
uongozi wa nchi yake. Na ushahidi uko kila mahali – ameweza kusimamia uchumi
ambao umekuwa kwa wastani wa asili mia saba kwa miaka yote ya uongozi wake.”
Sherehe za kesho, miongoni mwa mambo mengine,
zitaliwezesha Jarida hilo kutangaza mafanikio ya Tanzania chini ya uongozi wa
Rais Kikwete kwa Jumuia ya Kimataifa, ikiwa ni pamoja na Jumuia ya Kimataifa ya
Kibiashara, wanadiplomasia na taasisi nyingine zenye ushawishi mkubwa katika
medani za kimataifa na zenye makao yake katika Jiji la Washington na maeneo ya
jirani.
Imetolewa
na:
Kurugenzi ya
Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR
ES SALAAM.
Labels:
Award,
President Jakaya Kikwete,
Tanzania,
Tuzo
Subscribe to:
Posts (Atom)


