 |
| Mzungu Mbaguzi akilaani weusi kwa kutokupata msaada wa Serikali |
Wadau, hapa Marekani watu weusi wana pambana na ubaguzi kila siku. Hebu ona, huyo mzungu kaenda kuomba Welfare (Yaani hela ya kujikumu kutoka Serikali), kanyimwa halafu ana laani weusi. Huenda walimwona ni mtu mzima ambaye anaweza kufanya kazi ndo maana walimnyima! Au waligundua kaficha hela mahala. Yaani hapa USA mzungu mchafu kama huyo akienda, akioga na kuvaa vizuri, halafu aende interview atapata kazi kulikwa wewe mweusi uliyesoma na una sifa zote za hiyo kazi! Halau ana pochi ya bei mbaya! Khaa si aeuze hiyo pochi apate hela ya chakula!
Halafu wengine ni matapeli tu! Hawataki kufanya kazi, kazi kukaa barabarani na kuomba hela! Na hasa wazungu wanapata hela nyingi kwa kuomba! Tena hizo pesa wanazopata haitozwi kodi kama za mtu ambaye anafanya kazi.