Showing posts with label Mwajuma Thabiti. Show all posts
Showing posts with label Mwajuma Thabiti. Show all posts

Thursday, September 06, 2007

You Go Girl! Mjue Mnenguaji Rose Jimama

Hata wembamba hapo wanakazi kukufikia! Tena kavaa viatu stiletto! Hapa Marekani tunasema, "You Go Girl!" Asante Rose Jimama kwa kuonyesha vitu vyako.

From Haki Ngowi Blog:

Mnenguaji wa kujitegemea Mwajuma Thabiti anayefahamika pia kwa jina la Rose Jimama, hivi karibuni alifanya kufuru la nguvu ukumbini baada ya ‘kubanjuka’ kama anavyoonekana katika pichani.

Jimama alifikia hatua ya kubanjuka baada ya kupagawishwa na ‘Sebene’ la Bendi ya FM Academia 'Wazee wa ngwasuma' waliokuwa wakiporomosha muziki uliomfanya mnenguaji huyo akolee na kuanza kufanya vitu vyake mbele ya mashabiki.

Aidha baada ya kuonesha mitindo ya kufa mtu baadhi ya mashabiki wakiwemo wanaume walijitosa uwanjani kwa lengo la kumtunza huku wengine wakimfanyia mambo ya aib ukweli bongo kuna mambo,Christopher Lissa shukrani kwa nyuzi hii...