Showing posts with label Picha. Show all posts
Showing posts with label Picha. Show all posts

Saturday, January 09, 2016

Picha Rasmi ya Rais John Pombe Magufuli

Picha Rasmi ya Rais Magufuli (Official Portrait)



Picha rasmi ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli imetoka leo (Januari 8, 2016) katika Ofisi ya Idara ya Habari (Maelezo) Dar es Salaam.

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) Zamaradi Kawawa, amesema kuwa Picha hiyo ya Rais Magufuri kwa kila moja itauzwa kwa shilingi 15,000 ya Kitanzania (bila fremu), huku picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ikiuzwa kwa sh. 5,000/=.

Chanzo cha habari: http://www.channelten.co.tz/rasmi-picha-ya-rais-magufuli-itakayotumika-katika-ofisi-za-serikali/

Tuesday, August 09, 2011

Blog Mpya ya Katuni



Njia za mitaani (Vichochoro) zimegeuzwa kuwa vyoo vya wapita nijia, Je, huu nao ni ujanja?? MUUNGWANA NI VITENDO


Kwa KATUNI, VIELELEZO na MICHORO aina zote mnakaribishwa Blog maridhawa ya katuni:
http://www.artsfede.blogspot.com/

Maoni na ushauri vinakaribishwa pia.

--
FeDe; Freelance Artist
P.O.Box 79267,
Dar-es-Salaam, Tanzania.
Mob; +255 783 006545
Blog; www.artsfede.blogspot.com

Tuesday, January 13, 2009

Picha Blog

Mduara huko Mnazi Mmoja

Daily News/Habari Leo wana blogu ya picha:

Kuna picha nyingi za matukio ya hivi karibuni huko.

http://dailyhabari.wordpress.com/